CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Kwa hiyo kimahesabu Somalia bado wana nafasi ya kwenda robo fainali ?
 
ha ha ha ha ha ha ha!! watu8 bwana,kwa hiyo pressure zingine mnazipunguza kabla hazijanifikia!!pole kaka!

hahaha hawa watoto wa Kirundi wanachezacheza hapa uwanjani yaani wamefurahiiii....hivi unajua mechi inayofuata tunacheza na Somalia, na ushindi wao wa mwisho wa hawa maharimia kuupata katika historia ya michezo ya Chalenji walitufunga goli 1 hapo Taifa...
 
Last edited by a moderator:
acha upopo wametisha wakati tumefungwa.? Au ni majoka ya kibisa.?

Acha ubwege mbona hawajafunga huyo Ngasa na Mwinyi alafu Kaseja amekubali kutiwa?

............Kaseja kaokoa mangapi, Ngasa cross zote yeye, anakwenda-anakwenda zote zetu............haaaaah, haaaaah, msimaindi wakuu wangu, natania tu, si unajua tumenyukwa
 
mkuu hivi ile tetesi ya citizen radio iliishia wapi!!!soka limeisha turudi kwenye maisha yetu ya kawaida!

Nahisi ni tetesi tu, ila inadaiwa ni kweli Kiuno alikuwa hali ya mwalimu.
 
Mshaanza kuleta tabia zenu Mara Siasa mara mnaleta mambo ya vilabu japo mie simba siangalii hayo Mambo yenu ya Siasa na vilabu tukishafungwa ndio hizi tabia humu kwenye forum zinaanza timu tu ijiweke na kujipanga vizuri na wakae watizame makosa yao yapo wapi wafanye vizuri.
 
Mbona Dalali mlikua mnamvamia nyumbani kwake. Lakini kwa mzee wa pisto mmenywea vibaya pamoja na kuwatapeli kote huko.

Mkuu ujue huyo ni al-shaab tunaenda kwa taimingi............ila ataondoka tu, tunawaonea huruma pia Manispaa ya Tabora, hawana mbunge, attandance yake mbovu sana kwny vikao vya madiwani
 
............Kaseja kaokoa mangapi, Ngasa cross zote yeye, anakwenda-anakwenda zote zetu............haaaaah, haaaaah, msimaindi wakuu wangu, natania tu, si unajua tumenyukwa

Mpira wa sasa ni matokeo sio anakwenda,anakwendwa anakosa paleee.!!! ndio maana Mateo ametimuliwa pamoja na kucheza kandanda safi, hata Wenger juzi kaambiwa hajui anachokifinya kisa matokeo ya hovyohovyo kama haya.
 
Nahisi ni tetesi tu, ila inadaiwa ni kweli Kiuno alikuwa hali ya mwalimu.
mkuu Mphamvu pamoja ya kuwa ni habari mbaya ila ulivyo mrefer kwa jina la kiuno na kuwa katika hali ya mwalimu nimejikuta nacheka!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom