CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

mkuu tupo pamoja, naona Ngasa anapiga mpira mzuri hapa na kipa anacheza vizuri.!

Angalia hiyo penati wala hawafungi,lazima wakose,hapa ndipo utatambua kwamba mimi ni mtu wa Bariadi,lazima nitume msukule wangu umsaidie Kaseja.
 
penati nahisi ni halali, tumwombee kaseja aicheze.!
 
Issa Rashid anaingia badala ya Shomari Kapombe aliyeumia bada ya kugongana na Ndikumana.
 
Ngassa anajaribu tena kutoka mbali...
 
Anafunga pale Ndikumana a.k.a Baba Irene Uwoya....
Wao moja sisi bila!

te!te!te! Baba nani vile.? Halafu huyu jamaa shemeji yetu nahisi analipiza kutoswa na dada yetu.
 
Angalia hiyo penati wala hawafungi,lazima wakose,hapa ndipo utatambua kwamba mimi ni mtu wa Bariadi,lazima nitume msukule wangu umsaidie Kaseja.

mkuu ungesema unatoke gamboshi wasingefunga sasa bariadi mbona kweupe tu.
 
mkuu jamaa wana ukuta mgumu kiasi hicho!!inakuwaje wajaribu mashuti ya mbali!!!

maji ya shingo...hata hivyo Mrisho Ngassa siku hizi anajifanya Junihno,ni freekick taker
 
Ngassaaaaa Inchi chache pale uchuzi to ubwabwa dah.
 
Naona kinataka kinuke hapa uwanjani...
 
Back
Top Bottom