CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

I am in touch now.
Dakika ya 57, ZANZIBAR 0 - 0 ERITREA
 
Dakika 3 zilizopita Israel yuko langoni mwa Zanzibar. Kama Eritrea wangekuwa makini wangepata si chini ya goli 2 lakini hadi sasa dakika 63 bado 0-0.
 
Eritrea wanakosa nafasi ya wazi hapa, na Canavaro ameumia kidogo...
 
Kutoka Uwanja wa Nelson Mandela, Namboole
26 Novemba 2012
1500 EAT: Zanzibar vs Eritrea
1800 EAT: Rwanda vs Malawi
Mkuu nakukubali. Avatar yako pia inanikumbusha mbaaaaaaaaali sana!!!!
 
Lango la Uamsho linazidi kuandamwa...
 
Eritrea wanacheza easy ball,wananipa raha sana kuwatazama huo ndo ukweli
 
Jaku analeta u-Maradona, alifunga kwa mkono wakamstukia.
 
Dak. 78 Zanzibar 0-0 Eritrea, Zanzibar walitupia bao la mkono kupitia Jakujoma kapigwa kadi ya njano
 
Back
Top Bottom