CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Saif Abdallah anakosa goli uso kwa uso na kipa...
 
Zanzibar wamejambisha kwa kwel...
 
Haruna Niyonzima nahodha pale kati, Yanga hoyeeee!
 
Nawaona Kim Poulsen na Bob Williamson uwanjani, kila mtu kwa muda wake.
Teh teh teh teh teh!
 
Rwanda wanafanya mabadiliko ya mapema...
 
Rwanda wanapata goli la kuongoza hapa, baada ya mshikemshike.
Baptist Mugiraneza anaipatia timu yake bao...
 
Mugiraneza namba 7 kaipatia Rwanda bao. Jina hili linamaanisha mfanya vizuri.
 
rwanda jezi yao iko poa na soka lao liko poa sana,wakiongozwa na captain wao Niyonzima
 
Back
Top Bottom