Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,345
- Thread starter
- #301
Tangu mzozo wa Lake Nyasa uanze siwezi kupenda Malawi hata kama wangevaa njano na kijani! Nadhani unafikiria wekundu wa Msimbazi.
Fu.ck the politics and let the game speak of itself...
Wanyasa wamependeza kwa uzi wao safi, my favourite color combo ni kijani na nyeupe, kama Gor Mahia, Wolfsburg, Werder Bremen, Celtics za Mangaung na Glasgow et cetera. Ujinga wa Yanga na Simba huwa hauko akilini mwangu, ukipita kwenye uzi kuna mahali nimeandika Yanga hoyeee wakati nikiripoti Niyonzima kuwa nahodha leo, ukija kichwa kichwa unaeza kunipakazia u-Yanga.
Viva la Coastal Union SC, 11 Ngamiani Street, Tanga Metropolitan.