CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Huwa sibishani mara mbili........niambie upo pande gani nikuzukie nikupe discpline za uhakika...Kwa taarifa tu aga ukoo wako wote............kwa kuanzia Tanga!

Mkuu nimecheka sana hii thread tulisign out tangu jana tunasubiri jioni labda tuwajuze mchezo wa leo kati ya Zenji na Eritrea lakini naona mnamambo kweli humu ndani,haki ya nani maneno yako yamenichekesha sana Mkuu,kwamba wewe hubishani mara mbili????!!
 
Usijali WABHEJASANA!
Mimi na wewe dugu moja, CHAKO CHANGU, CHANGU C
HANGU. Mke wako mke wangu, mke wangu shemejiyo.
Nikianguka uniinue, ukianguka nikuangukie...

Mkuu mbona we mchokozi unanitafuta???subiri itabidi nikupeleke kule kwa babu yangu walau tu ugeuzwe KABHEBHA ili uwe unatulimia,kama hujui huko ni kule Gambosh!!!!!!!!!!
 
hivi hizi timu za soka za Taifa Tanzania zinapata ufadhili toka TANAPA? au toka viongozi wa mikoa ya kilimanjaro, arusha na manyara, maana najiuliza saana inakuaje? kila timu watakayo iunda inakuwa na jina la kivutio cha utalii kilichopo katk mikoa hiyo, mf, kilimanjaro star,serengeti boys,ngorongoro heroes na manyara, kwanini? hawatumii majina kama Gombe boys. mikumi star, selous warriors.katavi lions. kalambo falls boys, na mengine mengi au ndo kaskazini kaskazini kaskazini
 
ndugu zangu wazenji mbona leo kama wamezidiwa sana!! hata kwa eritrea tu?
 
Game inaendelea I hope, niko mbali na runinga.
 
Back
Top Bottom