CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

as time going chama langu la zidi kutisha..

Hala Azam FC wazee wa Lambalamba..
 
Mbona kama Crashwise simwoni kabisa leo kwenye hili jukwaa???

Ama hakujua kwmb Yanga Fc leo wangekuwa uwanjani?
Hivi kuna mshindi wa nne hadi wa tatu?
 
Mimi huyu kocha amenishangaza sana,amelalamikia goli walilofungwa akidai kuwa wachezaji walikuwa wakigombana nje alafu refa akaruhusu mpira urushwe na hatimae Yanga kujipatia goli la kuongoza dakika ya 100. Pili,huyu kocha amelalamikia kitendo cha mchezaji kutibiwa kwa dakika 6 uwanjani,nadhani alitafsiri kuwa ulikuwa ni upotezaji wa muda. Sasa hapa cha ajabu ni kwamba,kwa nini alilalamika kwa msisitizo kuwa "THIS IS AFRICA...",je,alimaanisha Africa hakuna waamuzi wenye akili au wachezaji pia hawana uwezo wa kutosha na ndio sababu ya wao kujidai wameumia mara kwa mara ili kupoteza muda?
Pia nikajiuliza,kama huyu kocha amefikia kuidharau Afrika,sasa anafanya nini huku,si aende Ulaya au mabara mengine akafundishe soka?
Ndo hayo tu niliya-note leo baada ya mecì kati ya APR FC VS YANGA FC.
 
Hatimaye yanga wameingia fainali nyingine ya kagame kwa mara ya 2 mfululizo na safari uso kwa uso na wababe wao azam fc je azam wataendeleza ubabe kwa kwa timu ya wananchi au wananchi watafuta uteja? hii ni mara ya 2 kwa timu ngeni kuingia fainali ya michuano hii kama mnakumbuka mwaka 2005 timu ya Moro Utd au Zaragoza ilifanya hivyo kwa kuingia fainali na polisi ya uganda wakati huo ikiwa chini ya kocha mtaalamu wa makombe sam timbe. Moro united mbele ya Rais Kikwete ilikubali kipigo cha 2-1, je safari hii itakuwaje? hebu tusubiri tuone.
 
mi simlaumu kocha,,ninacho jiuliza mimi kwanini waliongeza dakika 30 wakati hii si fainali,na kama wangepiga penati yanga angetolewa,,mpira wa bongo bwana hakuna kitu,,kwanzia rais,mpaka waziri upepo tuuuu kichwani
 
"This is Africa" ni kama alimaanisha: Africans always win when those of their kind are in charge.
 
kweli kufungwa kunauma... mbona halaumu taita kupewa kadi nyekundu ?? mbona hasemi zile fouls walizokuwa wanapewa??? ule uzembe wa mabeki wake walipaniki kwa kumkamia Bahanuzi ndo wameiponza timu yake, akae kimya tu
 
mi simlaumu kocha,,ninacho jiuliza mimi kwanini waliongeza dakika 30 wakati hii si fainali,na kama wangepiga penati yanga angetolewa,,mpira wa bongo bwana hakuna kitu,,kwanzia rais,mpaka waziri upepo tuuuu kichwani

Kama haujui sio dhambi kunyamaza, sheria za cecafa zinasema kuanzia nusu fainali kuna extra time na sio mwaka huu tu.
Huyo kocha na wewe wote hamjui mpira hata historia tu hamna maana goli kama lile ni mengi tu yamefungwa sio Africa bali Ulaya.
 
Refa alkw ameconcetrate na wachezaji wa apr walikuwa wamemzunguka bahanuzi aliyekuwa chini.. Hakuruhusu mpira uchezwe. Yanga wakarusha wakapata goli. Kocha ana point.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
"This is Africa" ni kama alimaanisha: Africans always win when those of their kind are in charge.

Mimi napingana na wewe,ukisema hivyo unakosea kwa sababu,we hukuona zile kadi walizopewa wachezaji wa yanga,mimi naona refa alikuwa 50 kwa 50. Na kwa upande mwingine aliibeba APR.
 
Kweli this is africa kwani uongo,ths is not america or asia,japo ukwli yanga tumebebwa..
Hivi timu iliyobebwa inaweza kucheza ikiwa na wachezaji 10 baada ya mchezaji mmoja(Taita) kutolewa kwa kadi nyekundu kwa kosa ambalo Refa mwingine angeweza kulisamehe?.........

APR wamefungwa kwa uzembe wao,beki Mbuya Twite alifanya uzembe wa kuanza kumfokea Said Buhanuzi badala ya kurudi nyuma na kuanza kujipanga kudefend.....Yeye kama beki alipaswa kuachana na Buhanuzi na badala yake kurudi nyuma kuwakaba washambuliaji/wachezaji wa Yanga wakiwemo Haruna Niyonzima aliyepiga krosi na Hamis Kiiza aliyefunga goli....
 
Back
Top Bottom