CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Mimi sio kocha lakini Gumbo ni mzuri sana akitokea pembeni kwa sababu ana kasi, kwa hiyo angekaa kushoto, Shamte Ally kulia, Chuji dimba la chini na Niyonzima dimba la juu halafu Kiiza na Tegete ndo wangekaa kwenye sebule, Kiiza ni mzito kucheza pembeni.
Wanafanya rotation mtani.....
 
yanga hakuna kitu kabisa yaani ufadhali manyema wangeingia kwenye mashindano haya..
 
Wanafanya rotation mtani.....
Kila la heri watani, hii ndo mechi ambayo mnatakiwa mchange karata zenu vizuri maana APR salaam walizotuma sio nzuri kabisa kwa timu zote zinazoshiriki haya mashindano, hata kama Wasudan ya kusini ni wabovu lakini goli saba ni habari nyingine kabisa inaonyesha wana washambuliaji ambao wanajua kazi yao.
 
hii ndiyo timu inayosifiwa kwenye magazeti kila kukicha..mbona hakuna kitu..ngoja niende zangu bar..mechi ni kesho
 
yanga hakuna kitu kabisa yaani ufadhali manyema wangeingia kwenye mashindano haya..
Mkuu Crashwise tuwaombea watani washinde ili kesho wafanye uchaguzi vizuri wapate viongozi ili siku tukikutana nao wakose visingizio, wakipoteza hii mechi sijui kama kesho uchaguzi utafanyika kwa usalama.
 
Crashwise haujui mpira........Yeye bado ana ushabiki wa mwaka 47 na hataki kubadilika.....

Inabidi ajifunze kutoka kwako........Yeye kila kitu cha Yanga ni kibaya.....

Nadhani ni Jukwaa la siasa ndio limemharibu.....
 
Mbona nackia simba wamepeleka jina la Kelvin Yondani kama mmoja wa wachezaji watakaowatumia kwenye mashindano!
 
Mbona nackia simba wamepeleka jina la Kelvin Yondani kama mmoja wa wachezaji watakaowatumia kwenye mashindano!
Simba wanatapatapa........

Wanamlazimisha mchezaji kuchezea timu yao ilhali hawataki........

Yupo anachezea Yanga leo na amevaa jezi namba 5,anasaidiana na Nadir Haroub pale nyuma....

Anakamua kisawasawa...
 
Back
Top Bottom