CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Ngoma bado ni nzito kwa Yanga......

Taita analamba kadi ya kijinga kabisa......Wtf
 
Huyu beki wa APR Mbuyu Twite atajilaumu sana.....

Mechi ya kwanza(group stage) alifanya ujinga ukapelekea Sid Buhanuzi kufunga goli la 2 na leo amefanya kosa kwa kuanza kumlalamikia/kumfokea Buhanuzi na kumuacha Haruna Niyonzima anaenda golini kwao na kupiga krosi ya goli
 
What a goal by Hamis by Hamis Kiiza(100th minute)....

Dakika ya 102

APR 0-1 Yanga

Yanga wasipom-bore Saintfiet ndani ya miaka 2 ya mkataba wake, watafika mbali sana.
Nimemuona ni mzuri sana wa match tactics
 
Dakika 15 za kwanza zimeisha.....

Ngoma bado nzito kwa Yanga
 
Huyu Taita ni Mkenya? na Refa ni Mkenya... Kurundi Uwanjani Yellow Mbili? not fair
 
Dah......Foul ya kijinga Buhanuzi.........Yellow card

Freekick kuelekea lango la Yanga.......

Karekezi anapaisha.......Asante Mungu
 
Ngoma bado ni nzito kwa Yanga......

Taita analamba kadi ya kijinga kabisa......Wtf

Hii itatu-cost.
In particular, itaweza kuni-cost sana mimi binafsi kutokana na ku-bet kwa prediction yangu ya Yanga kushinda 1-0. Naona jamaa tuliye-bet naye alinywea baada ya Kiiza kufunga lakini sasa ameibuka na kunitumia sms baada ya red card ya Taita.
Yes, WTF!!
 
Wenye timu yenu naona mnaelekea kushinda.
Ngoma bado ngumu kwetu hii mtani......Sasa hivi tuko pungufu,tunadefend hivyo kuruhusu mshambullizi....Jamaa wanatushambulia kweli.....

Uzembe wa Godfrey Taita wa kurudi uwanjani bila ruhusa ya refa baada ya kupata matibabu unatugharimu...
 
Back
Top Bottom