CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

huyu refa ni kama anamzuka wa kadi,kuna hatari nyekundu kutoka leo.
 

Hivi siku hizi Ngassa kishakuwa garasa au? Maana mechi nyingi hapangwi.
 
Heri yetu tumefika semi final......

Naona leo mmehamia APR......
Kwasababu ya matusi yenu, yaani mpaka najiuliza hivi zile goli 3 tulizofungwa na Azm kama tungefungwa na Yanga ingekuwaje.....binafsi nitafurahi sana yanga akifungwa ingawa bado naomba kombe libaki Tanzania..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…