Dah............
Dakika ya 38 Azam wanakosa goli la wazi kabisa hapa...
Jamaa kafanyiwa foul akaanguka,Refa anadai kadive na Replay inaonesha ni foul.....Hivi huyu jamaa kafanya nini hadi kupewa kadi ya njano?
hii red imetokana na nini? Mbona sijaelewa?Red card kwa mchezaji MPEKO wa Vita......
Uamuzi mbovu kabisa wa Refa
Safi sana lol!Dakika ya 37
Vita Club 1-0 Azam
Huu ni ujinga mkuu.......Yaani Refa na mshika kibendera hawazioni hata Off side za Azam.......CECAFA Wameshapanga matokeo, fainali azam na yanga.
CECAFA Wameshapanga matokeo, fainali azam na yanga.
Jamaa kafanyiwa foul akaanguka,Refa anadai kadive na Replay inaonesha ni foul.....hii red imetokana na nini? Mbona sijaelewa?
Ni Half Time sasambona siwaelewi?????matokeo yakoje?????mimi nipo mbali na sijui kinachoendelea taifa.
Mbali wapi?ok.mbona siwaelewi?????matokeo yakoje?????mimi nipo mbali na sijui kinachoendelea taifa.