Mkuu Yanga hatumkwepi mtu, kwanza Mnyama yuko mbali mno, Azam yenyewe ni issue! Tuwakwepe ninyi mmefika wapi? Kumbuka mechi ya Atletico na Yanga kisha tafakari mechi kati ya URA na Simba. Tulia Mkuu, Mafunzo wanaongoza, hawajashinda, mechi ni dakika 90.