Hivi kipa akidaka mpira nje ya 18 ni red card au njano?
Hao Azam hawabwebi leo?
Ni red...
Mwaikimba alisajiliwa azam kufanya nin....ndo 2seme ngasa hana nafac tena azam mpaka sasa yuko bench mzee wa west ham
Hawa Azam kweli dugu 1 na Simba,maana viongozi wao ni "viazi" kama viongozi wa Msimbazi,wakati Yanga walipowabishia hodi kutaka kumrudisha Ngassa nyumbani kwa gharama watakayoitaja hawakutaka hata kufungua room ya majadiliano,wakasisitiza hauzwi ksbb bado wanamuhitaji,sasa kumuhitaji kwenyewe kumbe ni kule kwenye benchi...wanauua kweli mpira wa Dogo,ukichukulia umri unakwenda huu
Kwa mwendo huu hii timu ya Azam haitafika kokote...
Atatumika robo fainali, haraka ya nini?
Halafu wakikutana na Yanga wanawakamia mpaka basi....Mimi sioni chochote wanachocheza humo ndani,yaani hii ndo team iliyo na kila kitu,uwanja mzuri wa kufanyia mazoezi,Gym iliyosheheni vifaa vya kisasa,na vifaa vingine vya kisasa vya kufanyia mazoezi,imekaa kambini muda mrefu sana,imeshiriki kombe la Urafiki hadi fainali lkn bado inacheza kama team iliyookotezwa
Mkuu unauliza Nazi Kisiju, wewe huoni redcard ilivyotoka katika mazingira ya kutatanisha ile....ninachojiuliza ni lini Azam wataacha kushinda baada ya wapinzani wao kupungukiwa mchezaji?