CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Hongera mnyama simba kwa ushindi wa leo na mzidi kunoa makucha tayari kwa mechi ya V club
 
Full Time: Atletico 5-0 Wau salaam

nafikili hii Wau salaam ilikuja kufanya mazoezi ikirudi msimu ujao itaua mtu.
 
Mimi huwa nashangaa kila mara watangazaji wa CECAFA mashindano wanatokea kenya kila wakati,kwa nini?
Jamani watangazaji wa kibongo mko wapi...mbona tunakuwa nyuma sana...au wa TZ hatuna ujuzi wa kuongea KIINGEREZA vizuri?Au tuna tatizo gani....mbona kila mwaka wa kenya?
 
msafir vipi hao tusker wanajua kweli au mikwala ya shikokoti watu wawaogope..
 
Full time Tusker 0-0 Mafunzo, Inategemea matokeo ya Azam na Tusker, mpaka sasa Mafunzo wako half way kuingia robo fainali.
 
mbona kina tom chilala wanatangaza au unamaanisha kutangaza vipi
 
Mara ya mwisho nadhani walikuwa akina Bakari Msulwa (hivi yupo wapi huyu, Japan ??) na huyo msanii chapappombe mbunge wa kondoa ! Vinginevyo sidhani kama kuwa wa maana aliyebaki wote wana-sound kama Mwigulu au Lusinde..
 
Frolian kaijage na ndimbo wanatangaza super sport kwa kiswail daily
 
Tanzania is a swahili speaking nation. Kingereza sahauni. Kizungu waachiwe watoto wa mafisadi.
 
Back
Top Bottom