Ha ha ha ha,Mkuu (Masuke) kumbe upo,asante goli la offside na la penalt kwa kumuibua Rafiki yangu Mkuu hapa JF
Huyu Nyoso anavyowaokoa hivi ndo mlitaka kumuacha?
Kinje aliumia siku ya Azam, Kigi nadhani anavuta kasi atatusaidia sana mbele ya safari dogo ni mzuri.
As Ports 0-3 Simba dakika 73
Sipati picha hiyo faulo aliyochezewa Kaseja Simba ingekuwa imeshafikisha magoli inayoyahitaji ingemchukua dk 10 kuinuka pale chini
Yule na yeye ndo nini,alitaka kugeuka Stephano Mwasyika?
AS Ports 0-3 Simba dakika 90+3 Full time
Hivi unaongea na nani ? STF up ...!!
Punguza Munkari Kaka ushindi wa magoli ma'3 (1 la offside,1 la penalt,1 la kawaida) mbona ni ushindi tu,kwani mlitakaje mfunge 7 kama Yanga,Vita na APR...au ulitaka washambuliaji wenu wafunge goli linaloweza kuingia katika list ya magoli makali ya hii Kagame?