Sasa mkuu.....Yaani mpenzi wa Simba ameukwaa uenyekiti wa Yanga !!?
Ni 7-0Nijuzeni wakuu yamefikia 8 kwa sasa au,Yanga Daima
Hamis Kiiza anakosa goli la wazi....
Jamani tuweni wakweli kidogo, hivi Nizar ana miaka 24??????!!!!! Wamarekani walistuka
Nzuri....Habari yako kaka....Hongereni
Na Simba je?Yanga wakikutana na timu nzuri, ni weupe sana. Naona hapa wanaruhusu bao