CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

apr na atletico wajanja sana wametoa dro ili wapite kiurahisi kazi kwenu sasa wana yanga.. au kundi lenu mnaenda timu tatu..
 
apr na atletico wajanja sana wametoa dro ili wapite kiurahisi kazi kwenu sasa wana yanga.. au kundi lenu mnaenda timu tatu..
kundi lao watatoa timu 3,kundi la mnyama simba pia timu 3.kundi la wanalambalamba ni timu 2
 
Rage Aden ni mtu wa mbwembwe tu hana lolote la kufanya si unajua tena wana siasa wanaua tu mpira! mtu ninaye mheshimu pale Simba ni Kaburu huyu ndiye mtu muhimu sana pale simba na hata usajiri anakuwa mstari wa mbele sana kusaka wachezaji lakini siyo Rage. si unaona hata suala la Kelvin Yondani kakomaa nalo wakati kimsingi mkataba wake na simba umejaa ubabaishaji. but Kaburu hajasema neno ksb alijua lina utata na simba walikosea kumwacha Yondani mwanza msimu wa kwanza wa league mwaka jana kiasi Yanga wakapata nafasi.

Sasa suala la uwanja lazima ujue kuwa ni mbwebwe tu uko wapi? wako wapi waturuki? zipo wapi miliono 600? Rage ni muongo na simba yupo tu kama figure 8 hana msaada aendelee tu na siasa na uchaguzi ukija ni bora Kaburu akawa Mwenyekiti.

mtu yoyote anayemwamini Rage anapoteza muda wake bure! nashauri wana simba kuwa makini na huyu Mwenyekiti.
 
Ndio tumeanza, Simba atakula goli 7.

Yanga kuna kila dalili akamaliza round ya kwanza ikiwa katika nafasi ya tatu, na kwa hiyo atakutana na mshindi wa kwanza kundi A ambaye kwa hali ilivyo hawezi kuwa simba labda miujiza itokee maana URA inaweza kuwa ya kwanza au katika kundi hilo au wakongoman. But siyo simba! hivyo basi labda nusu fainali au fainali kama simba wata Qualify.
 
Naam! nawapongeza sana wana-Yanga wakiongozwa na Mh. Balatanda kwa ushindi uliopatikana leo(Yanga 7-1 Wau salaam);

Japo Yanga imeshinda lkn si vizuri kuacha kuongelea mapungufu machache yaliyojitokeza ktk hii mechi; mfano:- 2half wachezaji wa Yanga wamecheza chini ya kiwango jambo ambalo limepelekea kumaliza dk45 za kipindi cha pili wakiwa nguvu sawa kwa kila timu kupata goli 1-1. kwa jinsi Yanga walivyokuwa wameanza mechi na kupata goli 6 ndani ya dk45 imekua ni vigumu kuhamini kuwa mechi imeisha kwa goli 7-1 badala ya goli ama 12 au zaidi kwa bila.

Kwa hakika bado wachezaji wetu wanamatatizo ya kukosa umakini na kujua ni nini kifanyike na wakati gani ndani ya uwanjq.
 
kundi la simba na yanga wote wanatoa timu tatu kila moja. hivyo hata hata APR na Atretico wakipanga matokeo yanga wataqualify tu kaka... naamini simba na yanga watasonga mbele kama kawaida.
 
kundi la simba na yanga wote wanatoa timu tatu kila moja. hivyo hata hata APR na Atretico wakipanga matokeo yanga wataqualify tu kaka... naamini simba na yanga watasonga mbele kama kawaida.

mahesabu hayo yatakaa vizuri baada ya mechi kati ya Simba Dhidi ya Ports hiyo kesho.
 
unajua siyo kila lazima utoe criticism maana ushindi wa 7-1 siyo mdogo. ila kwa kuwa APR ilishinda 7 kwa 0 dhidi ya team hii ndiyo maana unaweza sema hayo! but mimi nasema kuombea ushindi wa goal 12 au zaidi ingeshusha hata radha ya mashindano yenyewe na kutoa taswira kuwa mashindano hayana viwango. sasa basi nafasi zilizopatikana ni 13 but katika hizo washambuliaji wa Yanga wakatumia nafasi 7. unataka nini kwenye mechi mimi nadhani Yanga wanastahili pongezi tu mengine ni changamoto tu kwenye back line.

Thus siyo lazima kila wakati kuangalia makosa tu tuangalie hata improvement pia.

Kwa mtu kama Haruna Niyonzima na Kelvin Yondani kutolewa 2nd half ni clear indication kuwa waliobaki walikosa umakini wa kutosha. na sasa chuji akarudishwa number 5 iliua kidogo kasi ya Yanga iliyoonekana 1st half.

But pia Hamis Kiiza amekosa nafasi nyingi clear ambazo si tu zingeimbeba Yanga but pia zingembebe yeye personally kuwa mfungaji bora!

But Hongereni Yanga kwa ushindi.
 
hatuwezi kupima improvement ya Yanga au kusema Yanga ime-improve kwa kuifunga timu mbovu kama Wau salaam kitu ambacho kilikuwa wazi hata kabla ya mechi, akina Hamis Kiiza na Bahanuzi kukosa magoli ya wazi zaidi ya matano hapo ndo ubovu unapoanzia mkuu.
 
Naam! nawapongeza sana wana-Yanga wakiongozwa na Mh. Balatanda kwa ushindi uliopatikana leo(Yanga 7-1 Wau salaam);

Japo Yanga imeshinda lkn si vizuri kuacha kuongelea mapungufu machache yaliyojitokeza ktk hii mechi; mfano:- 2half wachezaji wa Yanga wamecheza chini ya kiwango jambo ambalo limepelekea kumaliza dk45 za kipindi cha pili wakiwa nguvu sawa kwa kila timu kupata goli 1-1. kwa jinsi Yanga walivyokuwa wameanza mechi na kupata goli 6 ndani ya dk45 imekua ni vigumu kuhamini kuwa mechi imeisha kwa goli 7-1 badala ya goli ama 12 au zaidi kwa bila.

Kwa hakika bado wachezaji wetu wanamatatizo ya kukosa umakini na kujua ni nini kifanyike na wakati gani ndani ya uwanjq.

Kwenye red: Kwa jinsi mchezo wa soka ulivyo,ukifunga magoli 6 kipindi cha kwanza siyo lazima ufunge magoli mengine 6 kipindi cha 2 yatakayotengeneza jumla ya magoli 12,soka ni mchezo wa makosa team pinzani ikifanya makosa 1st half yenzake ikayatumia makosa yake vizuri magoli yatafungwa 1st half na mchezo mzima utakuwa determined na magoli hayo.
Nakubaliana na wewe kuwa Yanga kipindi cha 2 hususani dk za mwishoX2 kama ilivyokuwa katika mchezo wa kwanza haikucheza vizuri jambo lililowafanya Wasudan wapate goli la kufutia machozi,sub alizofanya mwalimu zinaweza zikawa zilisababisha hayo,lkn tunawezaje kumlaumu Mwalimu wakati team ilikuwa tayari inaongoza kwa magoli mengi na wakati huohuo ikikabiliwa na mechi ngumu sana inayofuata dhidi ya APR,Mwalimu yeyote aliye makini na kazi yake lazima angefanya alichokifanya Uncle Tom kupumzisha baadhi ya majembe yake Vidic,Febregas na Mwasyika ilimradi alijiridhisaha kuwa sub hizo zisingeweza kuathiri matokeo ya mchezo ule.
All in all suala la Yanga kuruhusu magoli ya kufungwa dk za mwishomwisho inabidi liangaliwe kwa umakini sana hasa kama wataingia hatua nyingine,team watakazokutana nazo kule zitakuwa ziko tofauti sana na hawa Wau Salaam sijui matakataka gani.
 
Asante wakuu kwa updates endeleeni kutupa za mechi inyaofuata
 
Duh jana updates za YY zilikuwa zinarindima kwa kasi, leo vp wakuu >????
 
Back
Top Bottom