Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,919
mkuu tuwasamehe.. hawa jamaa ni wachanga kwa kila kitu bado hawajatengamaa
Angalau basi wabadili vigezo vya ushiriki namna hii mashindano yanakosa msisimko. Kila mwaka timu za namna hii zipo sijui wachezaji wanaokotwa mitaani