CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Nahisi sbb ya msiba wa meli kuzama ndo mana pamepoa,wengi attention iko kule
 
Shukran Mkuu Masuke, list ikoje leo ? Dah pamepoa sana hapa !!

Walioanza ni
Kaseja, Haruna Shamte, Maftah, Kapombe, Lino Masombo, Musa Mude, Amri Kiemba, Mbiyavanga, Sunzu, Haruna Moshi na Mwinyi Kazimoto ila sijajua uwanjani namba zao wanavyocheza.
 
Simba tumeishakuwa vilaza sasa hata hawa vibonde tunashindwa kuwafunga
 
Mhh zis iz not gud..... !! Wanaweza pata nafasi moja hawa wakaliza watu !!
 
Duuh..Jirani vp? Mbona timu yako imekonda hivi? Hadi PORTS ya Djbout? Nchi ya 9 kutoka mkiani kwenye soka duniani?. Au kombe la urafiki limekulevya? Au mzimu wa Okwi? au ndio unavuta kasi kipindi cha pili? Mmmh..ngoja nisubiri dk 90
 
Simba tumeishakuwa vilaza sasa hata hawa vibonde tunashindwa kuwafunga

Mkuu hata upangaji wa kikosi ni tatizo, sidhani kama ni busara ukapanga kikosi bila ya typical winga japo mmoja.
 
Kuna kauli niliisoma juzi nikatamani kutafuna keyboard. Eti kanu alipangwa huku akiwa na Malaria..... ebo sasa kwa nn apangwe kama alikuwa anaumwa wakati tuna players wengine kibao ? Nimesoma hizo changes za Nyosso kuingia badala ya Kihemba so hope Kiraka kapombe either anapanda kuwa defensive midfield au hata mbele zaidi ili Kazimoto au Kanu arudi hapo katikati nyuma !!

Mkuu hata upangaji wa kikosi ni tatizo, sidhani kama ni busara ukapanga kikosi bila ya typical winga japo mmoja.
 
Nipo Ofisini nasikia mtangazaji anasema ggogoggogoogogogogoooooooooooooooo! Huyu Simba laivu laivu.
 
Back
Top Bottom