Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,919
wanajamii matokeo ya simba na hao jamaa yakoje mwenye nayo atujuze
Simba kapigwa 2-0....
wanajamii matokeo ya simba na hao jamaa yakoje mwenye nayo atujuze
Mpira umekwisha...Ahaaaa!!
Ama kweli Simba kama Yanga dk hizi goli la 2
Simba oyeeeeeee
FT Azam FC 1 - 1 Mafunzo..
FT Azam FC 1 - 1 Mafunzo..
Hawa Azam n
Duh ... dua la wanaYanga limesikilizwa
FT Azam FC 1 - 1 Mafunzo..
Mpira umekwisha...
Poleni sana mtani,namtafuta Crashwise,jana katutukana sana Yanga as if yeye atashinda leo....
Naona hiki ndicho mlichojifunza
/mlichofaidi kwenye kombe la Urafiki...
Jana nilimwambia Crashwise kwamba mpira hauchezwi mdomoni,mpira uanchezwa uwanjani...

naye kocha wa yanga alikuwepo chamazi..
ngarna????????????????????????????????????????????