Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,919
uchovu wa kombe la urafiki lakini simba ndo timu bora kabisa hapa tanzania na eastafrica
Hahahahaah! Haya bwana.
uchovu wa kombe la urafiki lakini simba ndo timu bora kabisa hapa tanzania na eastafrica
Kiukweli mimi nilivyoona kikosi tu kilichoanza nikakosa imani kabisa na kweli yaliyotokea yametokea jamaa wametunyosha sana leo, mpaka sa hivi sielewi kwa nini kocha aliamua kuwaanzisha Danny Mrwanda, Haruna Shamte na Obadia Mungusa; hata kipindi cha pili baada ya sub alizofanya zilikuwa irrelevant, naamini kama angeaamua kutumia wachezaji wengine mfano Kapombe badala ya Mungusa au badala ya Haruna Shamte na Salim Kinje/Uhuru Selemani badala ya Mrwanda hali isingekuwa kama hii, hata Amri Kiemba hii mechi haikuwa yake. Anyway ngoja tumwachie kocha yeye ndo anayekaa na timu na anawajua wachezaji.Mpira umekwisha...
Poleni sana mtani,namtafuta Crashwise,jana katutukana sana Yanga as if yeye atashinda leo....
Naona hiki ndicho mlichojifunza
/mlichofaidi kwenye kombe la Urafiki...
Jana nilimwambia Crashwise kwamba mpira hauchezwi mdomoni,mpira uanchezwa uwanjani...
Duh ... dua la wanaYanga limesikilizwa
Chifu,hakika mpira hauchezwi mdomoni. Ingekuwa hivyo,timu za taifa ya Uingereza na Tanzania,zingekuwa na rekodi ya kuchukuwa makombe yote makubwa duniani!
Bila kusahau klabu za Tanzania (Simba na Yanga) nazo zingekuwa na rekodi ya kuchukuwa hadi kombe la klabu bingwa ya dunia.
Ila leo Simba wamechezea sana mpira bila kuwa na mipango yenye kuzaa magoli. Pia hakika pengo la Okwi limeonekana wazi;timu ilikosa mtu wa kumalizia kazi za viungo.
Sasa,tusubiri mechi za pili.
Asante mkuu.Kweli simba kwa mbele dani mrwanda hakufanya laamana pia kiemba, shamte mechi ya leo hawajafanya vzr.Kwakuwa tuna kocha Prof mechi zinazofuata kikosi kitabadilika na kitakuwa cha ushindiKiukweli mimi nilivyoona kikosi tu kilichoanza nikakosa imani kabisa na kweli yaliyotokea yametokea jamaa wametunyosha sana leo, mpaka sa hivi sielewi kwa nini kocha aliamua kuwaanzisha Danny Mrwanda, Haruna Shamte na Obadia Mungusa; hata kipindi cha pili baada ya sub alizofanya zilikuwa irrelevant, naamini kama angeaamua kutumia wachezaji wengine mfano Kapombe badala ya Mungusa au badala ya Haruna Shamte na Salim Kinje/Uhuru Selemani badala ya Mrwanda hali isingekuwa kama hii, hata Amri Kiemba hii mechi haikuwa yake. Anyway ngoja tumwachie kocha yeye ndo anayekaa na timu na anawajua wachezaji.
All in all URA wametumia udhaifu tuliokuwa nao vizuri na hongera zao.
Poleni wadau wenzangu wa Simba, Crashwise, Saint Ivuga, Bemg na wengine wote.
La la la la gooo no,Kaseja kadaka nini tena pale kadaka NYAVU
Wajameni namtafua Crashwise.......Mmenionea wapi huyu ntu?
Hawa Azam ndo bure kabisa,wasubiri Ligi kuu wawahonge Marefa tu
Heheeee....
Namtafuta Crashwise wajameni...
Mkuu Balantanda.
Wambie Crashwise na Ivunga wapevuke wakiona baba kafa kwa mdudu hivi kweli walitegemea mamá au mke(simba) apone kifo kweli?