CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

I'm looking for Shomari Kapombe but i dont see him in the pitch!! where is he?
 
I'm looking for Shomari Kapombe but i dont see him in the pitch!! where is he?

Kama sikosei yupo na timu ya taifa ya vijana inayojiandaa kukiputa na NIgeria....Pamoja na akina Frank Domayo na Simon Msuva wa Yanga
 
ushindi wa URA ni neema kwa Yanga kwani watapata nguvu wakiamini kwamba kumbe na wao jana kufungwa ilikuwa ni bahati mbaya
 
Back
Top Bottom