CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

ushindi wa URA ni neema
kwa Yanga kwani watapata nguvu wakiamini kwamba kumbe na wao jana
kufungwa ilikuwa ni bahati mbaya

Mtani...

Hata Simba wangeshinda leo Yanga bado wangekuwa na nafasi ya kusonga mbele....Kundi la Yanga ni timu 3 ndo zinafuzu kwa QF.....So Yanga bado wana nafasi...

Dakika za nyongeza baada ya dakika 90 kumalizika
 
La la la la gooo no,Kaseja kadaka nini tena pale kadaka NYAVU
 
loh! ndo mpira ulivyo wajipange kwa mechi zinazofuata
 
Back
Top Bottom