Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,919
Azam v Mafunzo score update please
1-1 mpaka sasa.
Azam v Mafunzo score update please
kanu nje na Boban ndani
wake up simba dakika zinayoyoma tunataka goal 2
Man of the Match mpaka sasa ni kipa wa URA
Sare inanukia..[/QU
sare na ushindi simba hakati tamaa hadi kieleweke
Sare inanukia..[/QU
sare na ushindi simba hakati tamaa hadi kieleweke
Ssentongo kawakosakosa Simba...Uzembe wa beki...
Derick Walulya anakamua kweli leo....
Ssentongo kawakosakosa Simba...Uzembe wa beki...
Derick Walulya anakamua kweli leo....
For sure he's the Man of the match leo
Ssentongo anataka kutu-yanga yanga aisee