Gooooooal....ao port wa djibout toka chamazi washapigwa nne bila na vita..
Pole mtani....Nyosso anawagharimu...aisee URA wamepata bao; siamini macho yangu jamani.
Gooooooal....
What a goal
Simba 0 - 1 URA
Gooooooal....
What a goal
Simba 0 - 1 URA
Pole mtani....Nyosso anawagharimu...
Ssentongo anawakosakosa tena...
Pole mtani....Nyosso anawagharimu...
Ssentongo anawakosakosa tena...
Mtani
nakushukuru;.........Nyosso anapenda sana kucheza kwa jaziba inampelekea
kusahau majukumu yake; Ssentongo ni mjanja sana anatakiwa akutane na
beki aliyetulia.
haya haya naona
kumekuchwaaaaaaaaa????????? Mnyama kesha dungwaa?? Kweli mwenzako
akinyolewa zako tia maji.
Mussa Mude wa Simba anakosa goli la wazi kabisa....
Huyu kipa wa URA ni mzuri sana
Tatizo la Simba lipo kwa beki...Namba 4 na 5 hawaelewani...kuna ukweli fulani Mtani; kipa wa URA ametulia sana golini;
azam anangoza moja..
Tatizo la Simba lipo kwa beki...Namba 4 na 5 hawaelewani...
Leo siwaoni Masuke na Crashwise...Ama wanasubiri mpaka Simba wafunge ndo waanze kupost?,wasalimu ukiwaona...
Dakika ya 30
Simba 0 - 1 URA
Mtaalamu Owen Kasule kaumia...
Tatizo la Simba lipo kwa beki...Namba 4 na 5 hawaelewani...
Leo siwaoni Masuke na Crashwise...Ama wanasubiri mpaka Simba wafunge ndo waanze kupost?,wasalimu ukiwaona...
Dakika ya 30
Simba 0 - 1 URA
Mtaalamu Owen Kasule kaumia...