Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
- Thread starter
- #261
Hakuna cha aibu wala nini...Timu zote zina nafasi ya kufanya vizuri mkuu...Simba watavuka tu kwenda Robo fainali,Yanga kundi lao zinavuka timu tatu kama sikosei hivyo ni rahisi kwao kwenda QF...Aibu ya tz itaokolewa na azam mwaka huu!
Kiungo cha Simba kimepwaya,pia mabekiwa hawaelewani...wanafanya ujinga ambao utawagharimu...
Sunzuuuuuu......Offside