S V Surovikin
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 13,589
- 32,670
Mamlaka ya udhibiti na kuzuia magonjwa Marekani CDC imetangaza amri mpya kuwa, watu wote walio choma chanjo ya kuzuia Corona waanze tena kuvaa barakoa katika mikusanyiko ya ndani.
Amri hii inakuja miezi kadhaa tangu mamlaka hiyo ilipotoa ruksa kwa wote walio chanjwa kuto vaa barakoa.
Maamuzi ya CDC kutaka waliochanjwa kuvaa barakoa yametokana na kuongezeka kwa watu wenye maambukizi ya Corona katika miji kadhaa nchini humo ikiwemo Florida na Missouri vilevile kutokana na kuongezeka kwa ripoti ya maambukizi ya virusi hatari zaidi aina ya Delta kwa watu ambao wamekwisha pata chanjo zote mbili.
Mamlaka hiyo imeongeza kuwa kila mtu anapaswa kuvaa barakoa na kuweka msisitizo kwa Walimu, wafanyakazi, wanafunzi na wageni katika shule zote bila kujali wamechanjwa au bado.
-----
Sisi ndio kwanza tunaanza kujipiga chale na kupromoti chanjo ambazo hazijawasaidia hata waliozitengeneza 😁
Piga chanjo uzalishe virusi vipya vigumu kuliko mwanzo