Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,925
- 51,010
Unaweza kupotosha historia lakini huwezi kuifuta.Hawawezi
Watasema aliwaua waarab wao
Pia wataishia kumuita kafir.
Hili nalo wale wanaotafuta shahada za Uzamili ama Uzamivu ama wanaotaka kuwa wabobevu wa historia ya Zanzibar wanatakiwa wachimbue.hakika
Hata okello mwenyewe amekuja kugundulika after some time baada ya watu kuchimba wenyewe na sylabas za nje kuonesha jamaa huyu
Kabisa... Mwalimu alisema maadui wetu ni watatu. Ujinga, Umaskini na maradhi.Hii yote ni kutoka na umasikini mkuu.
Haswa pale unapokuwa wa kifikra.
Na haswa pale watu wachache wanapo force umasikini huo ukae ndanj yenu ili wafaidike wao
Vichogo ndo nani tena?Hili nalo wale wanaotafuta shahada za Uzamili ama Uzamivu ama wanaotaka kuwa wabobevu wa historia ya Zanzibar wanatakiwa wachimbue.
Vichogo ndiyo walioongoza mapinduzi ya Zanzibar lakini leo wanakashfiwa na waliowakomboa.
ccm imebemenda historia kubwa sana ya Tanzania.Inajulikana kuwa aliyeongoza mapinduzi wa Zanzibar mwaka 1964 ni mganda aliyejulikana kwa jina la John Gideon Okello, lakini CCM Zanzibar haitaki kimtambua wala kumpa heshima yake.
CCM tunawajua ni wabinafsi lakini hila la kutokumpa heshima yake aliyeongoza mapinduzi ya Zanzibar litawagharimu.
Kila siku mnayaita ni mapinduzi matukufu wakati aliyeyaongoza hamtaki kumpa heshima yake inayostahili.
Lazima Zanzibar kuwe na mtaa, jengo, uwanja wa michezo, chuo kikuu au alama yoyote kama kumbukumbu kwa ajili ya Okello.
Mtu aliyefanya yale mapinduzi huku kina Karume na wenzake wakiwa wamejificha anawezaje kudharauliwa kiasi hiki?
🔥🔥Kabisa... Mwalimu alisema maadui wetu ni watatu. Ujinga, Umaskini na maradhi.
Bahati mbaya sana watawala wetu wanausheherehesha Umaskini.
Wanasema ni mgalatia. Wabaguzi sana hao jamaaInajulikana kuwa aliyeongoza mapinduzi wa Zanzibar mwaka 1964 ni mganda aliyejulikana kwa jina la John Gideon Okello, lakini CCM Zanzibar haitaki kimtambua wala kumpa heshima yake.
CCM tunawajua ni wabinafsi lakini hila la kutokumpa heshima yake aliyeongoza mapinduzi ya Zanzibar litawagharimu.
Kila siku mnayaita ni mapinduzi matukufu wakati aliyeyaongoza hamtaki kumpa heshima yake inayostahili.
Lazima Zanzibar kuwe na mtaa, jengo, uwanja wa michezo, chuo kikuu au alama yoyote kama kumbukumbu kwa ajili ya Okello.
Mtu aliyefanya yale mapinduzi huku kina Karume na wenzake wakiwa wamejificha anawezaje kudharauliwa kiasi hiki?
Kudanganya juu ya aliyeongoza mapinduzi kunaondoa sifa ya kuwa mapinduzi tukufu. Ccm ni malaghai na hayana aibuUnaweza kupotosha historia lakini huwezi kuifuta.
Mpaka leo ukiwaambia mashabiki wa Mzee Karume waseme huyo kiongozi wao alikuwa wapi siku ya mapinduzi hawana jibu.
Inakuwaje Karume isemwe ndiye aliyeongoza mapinduzi wakati siku yenyewe ya mapinduzi haijulikani alikuwa wapi?
Sasa ndiyo ujue ni kwa nini CCM ya sasa wanayaita maandamano kama ni nia ya mapinduzi.Kwa nini Watu weusi wa ASP wakisaidiwa na Tanganyika waliipindua serikali ya Sultan?
Kulikuwa na shida gani mpaka serikali ya Sultan na Mohamed Shamte iliyochaguliwa kwa kura halali ikapinduliwa na maelfu ya watu kuuwawa kiholela??
Hii mzee Mohamed Said hajawai kuandika kuhusu Okello na Zanzibar au yeye anajua Tanganyika tuInajulikana kuwa aliyeongoza mapinduzi wa Zanzibar mwaka 1964 ni mganda aliyejulikana kwa jina la John Gideon Okello, lakini CCM Zanzibar haitaki kimtambua wala kumpa heshima yake.
CCM tunawajua ni wabinafsi lakini hila la kutokumpa heshima yake aliyeongoza mapinduzi ya Zanzibar litawagharimu.
Kila siku mnayaita ni mapinduzi matukufu wakati aliyeyaongoza hamtaki kumpa heshima yake inayostahili.
Lazima Zanzibar kuwe na mtaa, jengo, uwanja wa michezo, chuo kikuu au alama yoyote kama kumbukumbu kwa ajili ya Okello.
Mtu aliyefanya yale mapinduzi huku kina Karume na wenzake wakiwa wamejificha anawezaje kudharauliwa kiasi hiki?
Katiba iliyokuwepo iliyoridhiwa na vyama vyote ikiwemo ASP ilikuwa inatambua wingi idadi ya viti vya ubunge katika kupewa ushindi na kuunda serikali na sio wingi wa idadi ya watu, kama vile tu leo Marekani rais anavyoweza kushinda kwa electoral votes/ college bila wingi wa kura "popular vote".Sasa ndiyo ujue ni kwa nini CCM ya sasa wanayaita maandamano kama ni nia ya mapinduzi.
Jibu la swali lako ni hili: ASP ( Muungano wa waafrika na washirazi) walipata kura nyingi kuliko muungano wa vyama vya Zanzibar Nationalist Party (ZNP) na Zanzibar and Pemba People's Party (ZPPP)
Huo muungano wa hivyo vyama viwili vya ZNP na ZPPP ulipata viti vya ubunge 18 na ASP walipata viti 13 kati ya viti 31 vilivyokuwa vinagombewa.
Lakini kwenye kura moja moja ASP ilipata 54% ya kura zote. Na hapo ikagundulika kule hivyo vyama vingine vinapoungwa mkono kulikuwa na majimbo mengi kuliko maeneo ambako ASP ilishinda.
Kwa nini kulikuwa na umwagikaji mkubwa wa damu. Ni Kwa sababu mapinduzi yenyewe yalijengwa juu ya msingi wa visasi!
Huyo walimtumia kufanya mapinduzi Kisha baadae kumfukuza na kumfuta kwenye historia.Inajulikana kuwa aliyeongoza mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964 ni mganda aliyejulikana kwa jina la John Gideon Okello, lakini CCM Zanzibar haitaki kumtambua wala kumpa heshima yake.
CCM tunawajua ni wabinafsi lakini hili la kutokumpa heshima yake aliyeongoza mapinduzi ya Zanzibar litawagharimu.
Kila siku mnayaita ni mapinduzi matukufu wakati aliyeyaongoza hamtaki kumpa heshima yake inayostahili.
Lazima Zanzibar kuwe na mtaa, jengo, uwanja wa michezo, chuo kikuu au alama yoyote kama kumbukumbu kwa ajili ya Okello.
Mtu aliyefanya yale mapinduzi huku kina Karume na wenzake wakiwa wamejificha anawezaje kudharauliwa kiasi hiki?
Amewahi... Kwa melengo hasi. Ila ukiwauliza walete ushahidi kama Okello na Karume walikuwa wanajuana kabla ya mapinduzi huwa wanakuwa hawana jibu.Hii mzee Mohamed Said hajawai kuandika kuhusu Okello na Zanzibar au yeye anajua Tanganyika tu
Tafuta kitabu cha "kwa heri Ukoloni, kwaheri Uhuru, Zanzibar na mapinduzi ya Afrabia"....Kina mengi.Amewahi... Kwa melengo hasi. Ila ukiwauliza walete ushahidi kama Okello na Karume walikuwa wanajuana kabla ya mapinduzi huwa wanakuwa hawana jibu.
Wa husema kuwa Okello alitumwa tu kuongoza yale mapinduzi, ila hawana ushahidi wowote kuonesha kuwa kuna wakati Okello alikuwa ni sehemu ya hivyo "vikao" vya kupanga mapinduzi.
Hao vichogo wanatajwa kama wavamizi kutoka nchi jirani..Hili nalo wale wanaotafuta shahada za Uzamili ama Uzamivu ama wanaotaka kuwa wabobevu wa historia ya Zanzibar wanatakiwa wachimbue.
Vichogo ndiyo walioongoza mapinduzi ya Zanzibar lakini leo wanakashfiwa na waliowakomboa.
Kama nimekuelewa vizuri ni kwa nini ASP walipinga ushindi ambao upo kikatiba?Katiba iliyokuwepo iliyoridhiwa na vyama vyote ikiwemo ASP ilikuwa inatambua wingi idadi ya viti vya ubunge katika kupewa ushindi na kuunda serikali na sio wingi wa idadi ya watu...
Nimekisoma... Kile kitabu ukikiangalia kwa makini ni kitabu kilichoandikwa na watu wanaoamini kuwa "walipinduliwa. Zipo Zanzibar mbili zinazoyaangalia yale mapinduzi Kwa mitazamo miwili tofauti kabisa.Tafuta kitabu cha "kwa heri Ukoloni, kwaheri Uhuru, Zanzibar na mapinduzi ya Afrabia"....Kina mengi.
Sio Okello pekee bali kuna Wamakonde waliokuwa shamba la mkonge Sakura, Tanga walivuka maji usiku wa kuamkia mapinduzi na kutia nguvu kubwa ambazo Waunguja hawakuwa nao.Inajulikana kuwa aliyeongoza mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964 ni mganda aliyejulikana kwa jina la John Gideon Okello, lakini CCM Zanzibar haitaki kumtambua wala kumpa heshima yake.