CCM yapasuka? Kinana ang'atuka...

Ingepatikana hiyo barua ya Kinana ndiyo ingekuwa vizuri zaidi.
 
Wajumbe wa NEC ya sasa ya CCM wako zaidi ya 200. Kwa nini kung'atuka kwa Kinana kuwe habari kubwa namna hii?! Nimeyashangaa hata magazeti ya leo habari hizi ziko kurasa za mbele na zingine ni habari kubwa ya leo. Ule umeneja wake wa kampeni za Mkapa na baadae Kikwete ndio umempa umaarufu huu?
 
Mh. tujipe muda kuna mengi nyuma ya pazia, tafakari there is something behind the screne

Ni kweli mambo mengine hujitokeza as time goes. Ukweli una tabia ya kujitenga na uongo na wakati mwingine huchukua muda kukamilika.
 
Labda kama aligombana nao, sio rahisi mkomavu wa siasa kama NNauye angeweza kuyaongea hayo maneno mbele ya wabaya wake aliowataja. Akiandika barua ni rahisi kujieleza bayana. Nape anakariri aliyoyasikia wakati anayetajwa kwamba ni mzushi yeye anakariri aliyoyasoma. Nashauri wote wawili walete attachment za barua hiyo iliyotoka kwa Nnauye tukate mzizi wa fitina.
 
kung'atuka nakubali lakini mimi zaidi naona huyu mzee ameogopa songombingo ya 2015. Maana 2010 alionekana kuzidiwa sana na akawa analaumu watu wengine ovyo. Hivyo ameamua kujificha la sivyo jamaa wakichukua nchi lazima wa kwanza kumkumbuka ni campaign manager ambaye atatoa maneno ya ovyo wakati wa campaign. Na yeye kihistoria ni Msomali ingekuwa rahisi jamaa kumtarget mara baada ya CCM kudondoka 2015. Nina uhakika beyond the reasonable doubt kuwa CCM haitoshinda tena.
\
Ni mawazo yangu tu
 

Huu uchafu peleka Michuzi Blog, na magazeti ya Shigongo
 
Hiki ndicho chama tunachoambiwa kina hazina ya viongozi na ina Jumuiya ya Umoja wa Vijana kama tanuru la kupika viongozi, lakini bado katibu wa Propaganda wa chama hicho hicho anatamani Mwenyekiti atumie mamlaka yake kumteuwa tena Kinana huyu huyu ambaye kwa hiyari yake amesema inatosha!! yangu macho.
 
Ingepatikana hiyo barua ya Kinana ndiyo ingekuwa vizuri zaidi.
Barua ya nini? Amesema hatagombea U-NEC wa CCM uchaguzi ujao. Hajajiuzulu nafasi hiyo kwa sasa. Aandike barua akieleza nini hasa, kwamba hatagombea! Kwani ni lazima?
 
Namfahamu kidogo Kinana. Mara ya kwanza nilimwona mwaka 1985 akiwa PEO makao makuu ya Brigedi ya JWTZ pale Tabora. Alikuja kambini kwetu Msange JKT kumfanyia kampeni Mzee AH Mwinyi achaguliwe kuwa Rais wa JMT. Kwenye ziara hiyo aliongozana na bosi wake Kanali Gidion Mwasomola.
Siasa zilipoondolewa jeshini naye nikamsikia akigombea Ubunge Arusha. Amekuwa ndani ya vikao vyote vikubwa vya CCM kwa muda mrefu tu kama wengine wengi.
 
Halafu huyu Dingi wa watu anajitahifdi kujitetea kweli, naona kama vile anasema nisikilize basi mzee kwanza halafu Bwana alfani anasema pumbafu tulia kwanza
Mkuu mimi hata kuiangalia naiogopa manake hapo mkulu alikuwa kama zidane harufu ya kumpiga kichwa ilikuwa inakaribia.
 
Huyu bila shaka anataka kwenda kwao Somalia kuimarisha lile kundi lake la kigaidi la Al- Shabab maana limeanza kuzidiwa nguvu.
 
kIMENUKA cHUKUA CHAKO MAPEMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA..................
 
Hagombei NEC tena, hilo la siasa uchwara nafikiri ni la mwandishi mwenyewe, miaka 25 si kidogo tu kuacha ili washike wenginenafikiri ni busara ya kawaida sana
 

Hata mimi najiuliza hivi mtu akifa si amekufa, ukisema aah, jamaa bwana alikufa anatabasamu na mwingine akisema hapana alikufa analia, tofauti yake nini. Kikubwa ni kuwa jamaa kaachia ngazi period!! Namshangaa Nape eti anataka kuonyesha kuwa kaamua kutogombea akiwa anatabasamu!!
 
Haya Source ni gazeti la mwananchi la leo kama ninavyoliona hapa mtandaoni, sija-atach, just google by yourself.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…