JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,156
- 3,626
kiukweli Nape anatakiwa ajitathimini mwenyewe kwanini watu wengi wanamnyooshea vidole?? mtasema ni zamu ya damu changa kuendesha cha kwa akili ipi?kimsingi ukiona hata katibu wa cha kakaa kimya kiasi hicho jua hamkani si shwari.Nape ndio kila kitu ndani ya ccm.hiyo ni hatari.ndio siasaaliyo chagua mwenyekiti wake. sasa ngoja wanachama wachachamae mtang'oka wewe na huyo jk wako