Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,200
Majibu ya ki-ujasiri sana hayo mkuu na kuonyesha kujiamini kwenye taaluma yako.
Maswali makuu ambayo waandishi wanatakiwa kujibu ni matano hata utembee pembe gani ya dunia