Nape unatakiwa kujua kuwa si kila mtanzania ni mjinga. Tunafahamu kuwa wanachosema wanasiasa na wanachofanya si lazima vifanane. wewe mwenyewe unajua vizuri sana kuwa ndani ya chama kuna watu wengi ni wa kwanza kuimba kuhusu rushwa, uhalifu na ufisadi. Lakini ndio hao hao wameficha mapesa Usiwisi, ndio hao hao wahalifu wakubwa na ndio hao hao mafisadi wakubwa.
Knowing mzee Kinana persoally, i would say that, whether he said or not, or whether he used exact words as you quted him, deep inside he knows what he is doing.
It does not take Kinana's words to know that tupo kwenye siasa uchwara, it does not need a colleague diploma to know that we are in shambles.
Believe me brother, wote wenye akili timamu na wenye busara kama Mzee kinana, watajiweka pembeni kwa busara, na sio kwa kutoa kauli chafu na kujeopardize future ya chama.
Ukiangalia mazingira ya zengwe, majungu, siasa za uswahili na fitna yaliyopo sasa kwenye meli inayozama, utajua kabisa kuwa wenye hofu na mabadiliko wanafanya kila njia na kutojali aibu na dhalili so as they can save thier necks. Lakini wale waiso na hofu na wenye heshima zao wako pembeni tuli wanawaacha wenye hofu kutapata.
My brother jitahidi sana kufanya kazi yako in a more professional manner, if you put yourself in the middle of this madness of who said what and what meant what, yopu will be thriowing yourself into a deep ditch.
Kina Kinana (bila kujali kama ni msafi au mchafu) wanatufundisha siasa kutokana na hatua wanazochukua kwenye mazingira kama haya. Best thing to do is to watch and learn.