Nakuomba uendelee kuniaminia kwa sababu ni hakika bila mashaka mimi sio mshabiki wa chama chochote bali ni pro-democracy ambaye ningependa kuona upinzani unashinda ili kuongeza wigo wa demokrasia ndani ya bunge
Kushinda mmeshinda,lakini cha moto mmekiona.Kwa ufupi niwape hongera CHADEMA kwani ni chama ambacho kinakuwa kwa haraka,na CCM kimedumaa.Big up viongozi wa CHADEMA.
hata mie mwana CCM mzee....tupongezane...lakini wakuu wanamtandano wenzangu tukumbukane kwenye kugawana vyeo......FMES,kibunango sasa nguvu tuzihamishie biharamulo.....Safi sana, tupo moja Kamanda! 😀
hata mie mwana CCM mzee....tupongezane...lakini wakuu wanamtandano wenzangu tukumbukane kwenye kugawana vyeo......FMES,kibunango sasa nguvu tuzihamishie biharamulo.....
hata mie mwana CCM mzee....tupongezane...lakini wakuu wanamtandano wenzangu tukumbukane kwenye kugawana vyeo......FMES,kibunango sasa nguvu tuzihamishie biharamulo.....
tunashukuru shem.......Pamoja na yote nawapongeza wanaCCM Busanda Kuchangua Sanda
Masa
aaaah shem unanivua ngua hadharani......mkuu wewe si unaona wanaojiita manguli wa ChADEMA hapa JF tuluvyowatoa jasho.....nakuambia siasa sio kukandamiza keyboard na kuungurumisha helkopta......CCm daimaKama CCM mnataka aibu muwekeni Yo Yo kwenye mtandao wenu....jamaa atakuwa busy na kuuza siri zenu kwa mashori!
Binafsi kwa matokeo haya bado naona tumeshinda pamoja na kwamba Magesa haendi bungeni. Hakuna mtu atakayebisha kuwa operasheni sangara imefanya kazi, na kwamba CHADEMA really is becoming an alternative party and a government in waiting. Siku za CCM zinahesabika, sio chadema walioamua hivi ni wananchi wenyewe.
Hili pia ni jibu kwa tafiti tata za REDET. Sasa wajiulize hizi data ambazo wamekuwa wakitoa zikionyesha kwamba CCM bado wanakubalika sana hasa vijijini hao research assistants wao huwa wanazitoa wapi? Hawa ma-RAs wa REDET wanaendaga field kweli au hujaza dodoso wenyewe?
Na mwisho hili liwe ni jibu kwa ndugu zetu CUF kwamba wananchi wameshaamua kuwa huku bara mbadala wa CCM ni CHADEMA. Wakiendelea kulifumbua macho hili wananchi watawaweka katika kapu moja na CCM na athari zake hazitaishia bara, bali zitateremka hadi visiwani.
Ccm kura 29.000 chadema 21,000 bado matokeo ya vituo 8
mkuu KM hizi ni ndoto za alinacha nyie CHADEMA niwaambie ukweli mambo yenu ni kama zimamoto jiimarisheni kwanza vijijini uuze sera pelekeni helkopta siku zote vijijini sio wakati wa uchagusi ndio mnaungurumisha......Binafsi kwa matokeo haya bado naona tumeshinda pamoja na kwamba Magesa haendi bungeni
mabadiliko yapi operesehni yenu umefanikiwa? mafanikio ongezeni viti bungeni....sasa wcheni kupiga kelele kwenye keyboard ingieni mtaani,wafikie wananchi wasiojua hata kusoma uuze sera zenu labda mtaikaribia ccm....Hakuna mtu atakayebisha kuwa operasheni sangara imefanya kazi, na kwamba CHADEMA really is becoming an alternative party and a government in waiting. Siku za CCM zinahesabika, sio chadema walioamua hivi ni wananchi wenyewe.
Guys!!! for once we have to be true.... aliyechangia chachu ya yote ni magufulu
Can we have a little repsect to JOHN POMBE MAGUFULI.... wa ndani mnanisoma vilivyo!!!!!
Mimi nafikiri kuwasifia na kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Mtoto kuwa wa kwanza kwa darasa la wajinga na ukampa sifa ni kumpoteza kabisa mtoto huyo.
CHADEMA waachane na makao makuu waende huko wakajidhatiti alichowashauri marehemu wakifanyie kazi.
Jamani hebu tutumie kalogic kadogo hivi utaipa tenda kampuni ambayo hata hard adress haina.? CHADEMA watapewa je ushindi huko ambako wenda wilaya nzima wana ofsi moja ama hakuna kabisa?
mkuu KM hizi ni ndoto za alinacha nyie CHADEMA niwaambie ukweli mambo yenu ni kama zimamoto jiimarisheni kwanza vijijini uuze sera pelekeni helkopta siku zote vijijini sio wakati wa uchagusi ndio mnaungurumisha......
mabadiliko yapi operesehni yenu umefanikiwa? mafanikio ongezeni viti bungeni....sasa wcheni kupiga kelele kwenye keyboard ingieni mtaani,wafikie wananchi wasiojua hata kusoma uuze sera zenu labda mtaikaribia ccm....
hao chadema kwenye majimbo yao wamefanya nini la maana? jimbo kama la Zitto kabwe.........mbunge yuko dar muda woote ana tofauti gani na muungwana....wapinzani wajipange upya...kweli wasukuma hawaoni umasikini.....siku wakijua kwamba kura yao kwa sisiemu ndo inawafanya wawe masikini, basi chama dume kiatanguka..... wananunuliwa kirahisi mno, wanawake ni chumvi ya mawe , wanaume gogno, vijana soda na ahadi hewa....mpaka miaka miatano tena!!!!
Ni kweli nilisema mahali kama Wanabusanda wanachagua mtu, Magesa ndiye angekuwa mbunge, kwa vile wanachagua vyama, mgombea wa CCM ni bomu ila CCM imembeba, CCM imshukuru sana Mzee Malecela busara zimeokoa, Mama Kilango aliyetoa maneno makali ya kuzaliwa na mwanamke, John Pombe Magufuli aliyepiga kampeni kwa Kisukuma lugha ambayo wanaielewa na Mhe. Dialo ambaye TV yake na Radio yake vimeibeba CCM.It all comes back to what I said before... vyama vya Upinzani bila kuunda umoja hawawezi kumshinda CCM.. Hili ndilo funzo.. swala la kupongeza Chadema kwa jitihada na kadhalika halina nafasi ktk fainali..ni makosa kufungwa goli hata moja watu wakachukua kikombe, ikiwa sababu imetokana na mapungufu ambayo tunayafahamu..
Wananchi wa Busanda wanapoteza mwakilishi wa haki kwa sababu ya udhaifu wa vyama vyetu..