CCM yanguruma Busanda; Wapinzani chali!

Kweli. Hasa mjinga au fisadi tu. Hawa mafisadi wakishinda Busanda, lo jamani message mbaya sana kwa wapiga kura wengine wajinga jinga vijijini...hawa CCM wameloga watu?

Chadema will win...no way.

Usitoe matusi kwa watu kuchagua wanachotaka; na baba na mama ako hawaishi kijijini? au unawaona na wao mafala pia?
 
Kweli. Hasa mjinga au fisadi tu. Hawa mafisadi wakishinda Busanda, lo jamani message mbaya sana kwa wapiga kura wengine wajinga jinga vijijini...hawa CCM wameloga watu?

Chadema will win...no way.

Wala hawajaloga mtu. Watanzania wengi ni wajinga tu. Plain and simple!
 
Kauli kama hizi ndio ufanya CCM kuibuka kidedea siku zote...!
Vijijini hawataki watu ambao ni too much know...

Hakuna ubishi. Ni kweli tupu. CCM inategemea ONLY ignorant voters. Hata wana CCM damu ambao sio mafisadi wanajua na kulikubali hili. CCM survival is in the hands of these ignorant voters who can vote without choosing.
 
na hili ndio linagundulika leo? basi vyama vingine visingeenda kabisa kufanya hata kampeni au hawakuwa na statistics za ignorant vs knowledgeable population ya huko?
 
Hakuna ubishi. Ni kweli tupu. CCM inategemea ONLY ignorant voters. Hata wana CCM damu ambao sio mafisadi wanajua na kulikubali hili. CCM survival is in the hands of these ignorant voters who can vote without choosing.
Kauli za mfa maji hizo, au sizitaki hizi mbichi! BTW jamaa walichukia sana kwenda kule na kihelikopta kwani mliwafanya ni washamba sana eeh? Jibu wamewapeni kupitia kwenye box la kura.
 
Usitoe matusi kwa watu kuchagua wanachotaka; na baba na mama ako hawaishi kijijini? au unawaona na wao mafala pia?

Acha upuuzi. Wadhani kila mtu mwanakijiji? Wapiga kura wajinga tu na mafisadi ndio wanachagua CCM. With all these evils, mtu unachagua CCM? It's really news.
 
Kwa sasa CCM ndio mzizi wa matatizo ya Watanzania. Kibunango kama wapinga hili, nitakuongeza katika orodha ya Mengi....Upinzani ukishindwa Busanda, it's time kuing'oa CCM by other means...ballot box can't work now.
 
Naona kuna mwamko mkubwa huko kwenye small towns. Ni tofauti na watu wa Dar ambao wamelala fofofo

Dar hawajalala fofofo. Ni kuwa tangia muamko wa buzwagi hawajapata nafasi ya kuonyesha hasira zao....zinatokota ndani kwa ndani bao.

Vilevile hata katika uchaguzi wa 2005 vyama vya upinzani hawakuwa na wagombea wenye ushawishi wa kuweza kuaminiwa na wanjanja wa mjini. Ni mnyika pekee ndiye aiyekuwa na mvuto kwao.........

omarilyas
 
Back
Top Bottom