CCM yanguruma Busanda; Wapinzani chali!

CCM yanguruma Busanda; Wapinzani chali!

Gee! Mungu yupo na mafisadi wanaoiangamiza nchi!? 😕
Mlishasema mtashinda kwa 60% labda mlishapanga jinsi ya kufanya madhambi yenu ikiwemo pamoja kupandikiza wapigaji kura wa CCM toka mikoa mingine ambao hawana sifa ya kupiga kura kule Busanda.
 
Matokeo ya awali Busanda jumla ya vituo ni 30 na matokeo tayari vituo 253 namatokeo yake ni kama ifuatavyo ccm 19,190
chadema 14.024
cuf 372
udp 143 Mungu yupo pamoja nasi

Poa mkuu asante kwa update ila data zako zimekuwa na outlier kibao jaribu kuzi smooth basi. Haiwezekani vituo viwe 30 na matokeo yawe ya vituo 253 labda uniambie ni 300, ila nilisikia ni 380.
 
Matokeo ya awali Busanda jumla ya vituo ni 30 na matokeo tayari vituo 253 namatokeo yake ni kama ifuatavyo ccm 19,190
chadema 14.024
cuf 372
udp 143 Mungu yupo pamoja nasi

Naona kuna mwamko mkubwa huko kwenye small towns. Ni tofauti na watu wa Dar ambao wamelala fofofo
 
Matokeo ya awali Busanda jumla ya vituo ni 380 na matokeo tayari vituo 253 namatokeo yake ni kama ifuatavyo ccm 19,190
chadema 14.024
cuf 372
udp 143 Mungu yupo pamoja nasi
=====

We Fisadi mtoto, si useme tu kuwa hata elfu kumi na nne unazoita cha Chadema, nazo ni za CCM? Mkiamua kuiba iba kabisa kama mlivyokomba BOT.
 
Usiwashutumu hawana kosa kabisa. Ni mapema sana kutoa kauli kama hizi, wao wamewekwa chini ya ulinzi wafanyeje?

====

Hapo umenena mwungwana, maana hakuna watu waoga wa polisi kama watani zangu Wasukuma. Wamewekwa chini ya ulinzi, ikabidi wajisalimishe. Lakini siku woga wao ukiisha, CCM watachekea bafuni.

Nahene mami
 
kama ndo hivo bac nimeelewa maana ya Posco UWT kuhakikishia mafisadi ushindi. hongereni mafisadi kwa ufisadi wa kishindo!

hivi waziri aliye kamatwa na shahada za wizi imeishaje?
Atafanywa nini ndugu yangu nchi hii imekaa mkao wa kunajisiwa...!!!
 
Chadema mtandaoni, taratibu na vidole vyenu... CCM tumeshaanza kuandaa sherehe ya ushindi double...
 
Aaah potelea mbali mtanzania yeyote anaewapigia mafisadi kura aidha ni mjinga,fisadi au adui wa watanzania kwisha!

Kweli. Hasa mjinga au fisadi tu. Hawa mafisadi wakishinda Busanda, lo jamani message mbaya sana kwa wapiga kura wengine wajinga jinga vijijini...hawa CCM wameloga watu?

Chadema will win...no way.
 
Aaah potelea mbali mtanzania yeyote anaewapigia mafisadi kura aidha ni mjinga,fisadi au adui wa watanzania kwisha!
Usife moyo, this is just a process na kufikia mafanikio yahitaji kujitolea na kujua kuwa safari ni ngumu na yahitaji kuvumilia hadi tone la mwisho. Lets wait and see the last vote!
 
Kweli. Hasa mjinga au fisadi tu. Hawa mafisadi wakishinda Busanda, lo jamani message mbaya sana kwa wapiga kura wengine wajinga jinga vijijini...hawa CCM wameloga watu?

Chadema will win...no way.
Kauli kama hizi ndio ufanya CCM kuibuka kidedea siku zote...!
Vijijini hawataki watu ambao ni too much know...
 
Tangu lini mliambiwa Wasukuma ni watu wanapenda mabadiliko?? Utashangaa bado watachagua CCM!

Upinzani ni Pemba, Kilimanjaro, Musoma, Kigoma na kule Kagera!!
 
Back
Top Bottom