Duh!!!Wananci wengine pia inawezekana walitishwa,uchaguzi wa BUsanda usimamiwe kama wa Iraki? Ni vitisho vya ccm kwa wanavijiji kuwa wakichagua upinzania wanaweza wakarudi hao maana nilishangazwa sana na uvunjwaji wa wazi wa haki za raia pale polisi walipoamriwa waondoe namba zao wakati wa doria,huo ni ugaidi,hao hao ndio wanaotumika kuhujumu uchaguzi,wako juu ya sheria unadhani watakubali kushindwa?
samahani wakuu,imeingiliwa kidogo na kafisadi.
Ushauri wangu...imedhihirisha kuwa ni ngumu mno kwa wapinzani kushinda, ninashauri kwa wale wanoamini katika CCM ya Julius kuungana pamoja kupambana kuleta mabadiliko ya CCM tuitakayo badala ya kubaki na upinzani ambao nao umepoteza matumaini kabisa.
Wapo watakaodhani nataka chama kimoja,la hasha na wala sitamani kabisa kwani mie naamini uimara wa CCM unategemea sana pia uimara wa upinzani. Lakini kwakuwa CCM ndio chama kilicho madarakani na kwa muda mrefu ujao kitatawala, ni bora kurekebisha mapungufu humu kuliko kuhangaika woooooteeee na dead cases...ndio wengine wabaki upinzani wasaidie kuikosoa C
hakukuwa na kila dalili za ccm kushindwa waandishi wa habari waliopewa fedha waliipigia debe chadema kwa kudhani wananchi wataamini propaganda hizo wana jf huko ni kujidanganya.its a wishful thinking kudhani ccm itashindwa.ccm inamtandao nchi nzima kila kijiji kuna tawi na wanachama wanaoeleweka.ina jumuiya zake hai.wakati vyma vya upinzani hujitokeza wakati wa uchaguzi tuu na kupiga kampeni kutumia udhaifu mdogomdogo wa ccm.wakishangiliwa na vijana wa vijiweni ambao hupewa sh mia tano au elfu wao wakidhani wanao wanachama heeeeeeee nasi wana jf tunashupalia na kufanya tathmini kwa kutumia porojo za magazet.waheshimiwa siasa sio lelemama.upinzani ungetuliza akili kujipanua kimawazo na kufanya tathmini sahihi ya jinsi ya kujipanuakwa chadema bado hawajajifunza fedha na kukodi helikopta zingetumia kueneza matawi huko vijijini.nadhani wakajifunze kwa mrema aliyekuwa akisukumwa kwa gari baadaye akajikuta yuko pekee yake.hongera ccm utadumu kwa kipindi cha miaka kumi na moja ijayo
Busara na elimu bado i nahitajika, heri ya busanda japo makao makuu wameibuka na upinzani, japo sijawa updated, inakuwaje Dar, jijini majimbo yote yalienda CCM?
Wananci wengine pia inawezekana walitishwa,uchaguzi wa BUsanda usimamiwe kama wa Iraki? Ni vitisho vya ccm kwa wanavijiji kuwa wakichagua upinzania wanaweza wakarudi hao maana nilishangazwa sana na uvunjwaji wa wazi wa haki za raia pale polisi walipoamriwa waondoe namba zao wakati wa doria,huo ni ugaidi,hao hao ndio wanaotumika kuhujumu uchaguzi,wako juu ya sheria unadhani watakubali kushindwa?
...Mch. Lackson Mwanjali wa CCM alipata kura 32,867 sawa na asilimia 73.27; Daud Mponzi wa CUF kura 10,578 swa na asilimia 23.57; Subi Mwakapiki wa SAU kura 496 sawa na asilimia 1.10; kura 914 sawa na asilimia 2.04 ziliharibika. Tofauti ya kura kati ya CCM na CUF ni 32867-10578=22289. Kwa hiyo CUF (yenye kura 10578) ilikuwa inahitaji msaada kutoka CHADEMA wa at least kura 22290 ili kuishinda CCM !! Sasa wewe ukiona una wafuasi wachache, kwa nini usimuachie mwenye wafuasi wengi?...
Habari za matokeo hayo zinaonesha kuwa mgombea wa CCM, Lolensia Bukwimba amepata kura 29,349 akifuatiwa na mpinzani wake mkali wa CHADEMA, Finisia Magessa amepata kura 21, 249 na mgombea wa CUF, Oscar Ndalahwa kura 827 akifuatiwa na mgombea wa UDP, aliyeambulia kura 327.
Katika uchaguzi huo watu 133,000 walijiandikishwa kwa ajili ya kushiriki uchaguzi huo huku idadi ya watu waliojitokeza kupiga kura ni 52,720.
We got results from our own tally since midnight and confirmed that we have lost the Busanda election. It was a tough battle which we poised to win. I have called Mkuchika to congratulate him for the victory.
CHADEMA has increased its share of votes from 4% to 44%. To us the people have spoken though we will not seat an MP in Dodoma for Busanda. The votes give us courage to go to Biharamulo strengthened and with high spirit. There are minor mistakes we shall correct, internal and external.
Thanks all for your support. Vijana wamepigana sana. Ni bahati mbaya tu tumeshindwa.
We have a country to run. Tutakutana Biharamulo
Zitto
I salute you SIR!!! Naomba nikupongeze kwa juhudi zenu za kui chalenge CCM. Hata bila kuwin kiti bado impact yenu kwa maisha ya wana Busanda ni kubwa. Mtaji wenu mwakani utakuwa utekelezaji mbovu wa ahadi za CCM na hapo hiyo difference za kura elfu saba ni ndogo mno kuzi win compared na muda uliobaki wa CCM kutekeleza walichokiahidi. Usife moyo shujaa wa kweli ni yule mwenye makovu mengi mgogoni na reward yake ni ile facial expression after winning the battle. So keep it up na hongera kwa kukubali kushindwa.
Hizi namba za matokeo zinanifurahisha jinsi zinavyoishia na 49 na 27.
Hapa kwenye idadi ya waliojitokeza ni fundisho kwa wote walioshiriki uchaguzi kuwa voter turn out katika chaguzi zetu ndio determining factor ya nani atashinda kati ya wale wanaochuana kwa karibu. Ina maana hapo iwapo CHADEMA ingeweza kuwahamasisha wapiga kura wengine elfu 9 kati ya 80,280 wasiojitokeza wangeibuka washindi. Kuna sayansi ya uchaguzi ambayo inabidi vyama vya upinzani wajifunze.vitu vidogovidogo sana wanashindwa kufigure out.