William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Posted by Mzee Mwanakijiji: ``Utabiri wangu wa Chadema kushinda jimbo zima kati ya asilimia 50-55 bado unasimama.``
PM, hili ndiyo tatizo kubwa la vyama vya upinzani na sijui kwa nini hawalioni miaka nenda miaka rudi. Wako radhi watumie nguvu zao nyingi kuishambulia CHADEMA badala ya kuishambulia CCM. Na sijui kwanini vyama vya upinzani hawataki kusikia wito uliotolewa kwao na Watanzania mbali mbali ndani na nje ya nchi wa umuhimu mkubwa wa vyama hivyo kuungana na hatimaye kuunda chama kimoja chenye nguvu ili kupambana na CCM katika kila kona ya nchi. Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga pia aliwapa nasaha kwamba ili kuishinda CCM inabidi waunganishe nguvu na kuunda chama kimoja lakini ushauri ule wala hawakuufanyia kazi. Ubinafsi wa vyama vya upinzani utaisadia CCM kushinda katika chaguzi nyingi zijazo mpaka hapo Wapinzani watakapoamka na kuuweka pembeni ubinafsi huo.
Huko Biharamulo ni kuweka rekodi nyingine kali zaidi, kabla ya 2010 na onyo kwa wengine wote wenye ndoto za Alinachahata mie mwana CCM mzee....tupongezane...lakini wakuu wanamtandano wenzangu tukumbukane kwenye kugawana vyeo......FMES,kibunango sasa nguvu tuzihamishie biharamulo.....
- Mkuu Bubu too late, tayari CCM imeshinda Busanda na Magogoni , na watashinda tena Biharamulo mpaka upinzani watakapojifunza kwamba uchaguzi wa jimbo huko mikoani huwa hauamuliwi na JF, bali wananchi wa jimbo, nguvu nyingi zinapotezwa hapa badala ya huko majimboni, haya ndio matokeo yake!
FMES!
FMES mimi kinachoniuma sio CCM kushinda uchaguzi , kinachoniuma ni jinsi wananchi wa hilo jimbo walivyorubuniwa. Inasikitisha kwamba katika karne ya 21 hawa ndugu zetu hawana umeme na wanaishi katika maisha duni sana.
FMES hebu nieleze CCM imewafanyia nini cha maana hawa watu wa huko Busanda ? Inaniuma sana kwani hawa watu walikuwa na nafasi ya kusend strong message kwa chama tawala lakini wameshindwa. Mimi ndio maana naiheshimu sana mikoa ya kaskazini ...
Yale majigambo ya Chadema kuongoza, kushinda kwa asilimia 50-55 yako wapi?
... Chadema kama ilivyotabiriwa inaelekea kuchukua ushindi eneo la Katoro (mjini) kwa ushindi wa tsunami. Hata hivyo ngoma yote inaonekana kuwa iko kijijini. Utabiri wangu wa Chadema kushinda jimbo zima kati ya asilimia 50-55 bado unasimama.
...
Sidhani kama mtu anapotabiri ndo maana yake anafanya majigambo !! Kama utabiri ndio majigambo, basi nadhani Sheikh Yahya anaongoza kwa majigambo Tanzania!!Yale majigambo ya Chadema kuongoza, kushinda kwa asilimia 50-55 yako wapi?
Kwa hali hii naamini kabisa CHADEMA wameshinda kwani karibu nusu ya kura zote ilizopata CCM ni wizi mtupu.
CCM imeshinda sababu ya Ujinga WA WAPINZANIA NA TABIA YAO YA uBINAFSI...SHAME!
I didn't know before kuwa serikali ndio huwa inaamua nani apewe jimbo gani na nani asipewe!! Mkuu Gembe tupe utaratibu wa kuomba jimbo serikalini, kwani kule kwetu Kwela kuna mbunge huwa hatumtaki lakini kila uchaguzi anashinda yeye, maybe tukiiomba serikali itaamua kutupa tunayemtakaKuhusu Tarime,CCM wangewe kutumia Mbinu walizotumia Busanda ila Tariiem kulikuwa na ugomvi baina yao(CCM kwa CCM) na pia tatizo lingine ni wale Mungiki ambao walitishia kuchoma vituo vya mafuta kama CHADEMA isingeshinda,Serikali ikaamua ni bora tuwape tu!