CCM yamwangukia Bashe!

CCM yamwangukia Bashe!

hili zee pumbavu nini?si alihojiwa na akasema Bashe si raia sasa Rais gani anakuwa kichwa maji kila kukicha anasingizia kadanganywa??
 
Niliwahi kuwambia hapa kuwa mzee Makamba si mzima kichwani hasa ukizingatia kauli zake. Nadhani anahitaji kupelekwa hospital za wenye shida ya vichwa ili achunguzwe.

Nilimsikia Makamba kwa masikio yangu na kumuona kwa macho yangu akihojiwa na mwandishi wa TBC kuhusiana na suala la huyu msomali Bashe na yeye alisema ameona vithibisho vyote alivyoleta Bashe na ameridhika kuwa si raia.

Leo anasema Uhamiaji ndio waliwatahadhalisha kuwa si raia.

Hapo hapo anasema Bashe hajawahi kupeleka vithibitisho CCM kuwa ni raia.

Na hapo hapo anasema Bashe ni raia halali. Je kama hajaona vithibitisho vyake anajuaje kuwa leo Bashe ni raia halali?

Au tuseme uhamiaji walikuwa na beef na Bashe na limekwisha sasa uraia wake umerudishwa?

These are stupid statement to be issued by such a respected politician.

Ni hawa hawa ndio wanatuahidi ahadi kibao leo. Kesho wanasema tulimaanisha vingine. Poor my Country
Tanzania.
 
Nakwambia
akishaiuza tz yote atasingizia kuwa amedanganywa na wasaidizi wake
lolz
 
Katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi (CCM) Yusuph Makamba ,amesema kama aliyeenguliwa kugombea ubunge jimbo la Nzega na chama hicho Hussein Bashe,ni raia halali wa Tanzania basi anayestahili kubebeshwa lawama ni wasaidizi wa JK na si chama hicho

Akizungumza na Nipashe jijini dar es salaam jana,Makamba alisema chama chake kilipata Vielelezo kwamba Bashe si raia kutoka kwa wasaidizi wa Rais hivyo CCM haistahili lawama

'' Wasaidizi wa Rais ndiyo walituambia sisi kuwa Bashe si Raia sasa kama wizara ya mambo inasema ni raia basi ituambie ,lakini leo tunaendelea kuamini tulichoambiwa na wasaidizi wa rais''

Source Nipashe
wasaidizi wa Rais akiwemo Ridhiwani Kikwete na January Makamba sio! Hii nchi imekwisha iko siku watampelekea Kikwete list ya kunyonga toka mahakamani halafu wadai amedanganganywa!
 
Bashe chukua wafuasi wako wape kula Chadema ,akwanzae mmalize ukiridu kwa hao jamaa watakumaliza ww

ooho ,wao hawana haya wanaona utawafunika wakina Ridhiwan na January nuksi tupu wakwere wao na makamba.

Sioni cha kuchajiri kuhusu statement za Makamba pumba zisizo jificha toka CCM
 
Katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi (CCM) Yusuph Makamba ,amesema kama aliyeenguliwa kugombea ubunge jimbo la Nzega na chama hicho Hussein Bashe,ni raia halali wa Tanzania basi anayestahili kubebeshwa lawama ni wasaidizi wa JK na si chama hicho

Akizungumza na Nipashe jijini dar es salaam jana,Makamba alisema chama chake kilipata Vielelezo kwamba Bashe si raia kutoka kwa wasaidizi wa Rais hivyo CCM haistahili lawama

'' Wasaidizi wa Rais ndiyo walituambia sisi kuwa Bashe si Raia sasa kama wizara ya mambo inasema ni raia basi ituambie ,lakini leo tunaendelea kuamini tulichoambiwa na wasaidizi wa rais''

Source Nipashe

Kwa hiyo Kikwete akidanganywa na akina Ridhiwani na Januari (ambao ndio washauri wake) kuwa Kenya wanakuja kutuvamia ataamuru majeshi ya Tanzania yaende mpakani bila hata kuwasiliana na waziri wa ulinzi? Kwa nini hakumuuliza waziri wa mambo ya ndani kabla hajatoa uamuzi. Kwa vile sasa wanajua kuwa walitoa uamuzi kimakosa, je watayasahihisha na kumruhsu bwana Bashe agombee ubunge?
 
Makamba shule yake ni zero. Kikwete nae mswahili mnoo hata shule yake haimsaidii. Wote madudu kichwani
 
Mimi nilijua tuu wanamwonea Bashe wa watu hiyo yote inatokana na SIASA za UADUI na VISASI. CCM ni Chama ambacho kinanedeshwa kwa ubabe tuu na wale wote ambao walihuisika na hiyo issue ya URAIA wa Bashe siku yao nayo inakuja watakiona cha mtema kuni

Ridhwan J Kikwete mimi naomba nimpe USHAURI wa BURE ni bora akafanye kazi aliyoseomea SIASA haziwezi kazi yake ni kupika majungu na kuyapeleka kwa BABA yake akijua fika kuwa lazima BABA yake atayafanyia KAZI alishindwaje kutatua tofauti zake na BASHE..? Huo sio UANAUME siku inafika Baba yake atoka pale na atakuwa MTAANi ndio atakapoona kuwa MAharage sio mboga ajifunze kutoka kwa wengine

Nakumbuka Ridhwan J Kikwete alipokuwa MLIMANI alikuwa KIJANA mzuri mpole na kila mtu alikuwa akimfurahia sasa baada ya Baba kushika Ulingo ndio akaonyesha JEURI yake hana lolote Siku yako inafika na wala sio mabli ni Mwaka 2015 ndipo utakapoona maana ule muda wa kubebwa utakwisha ni bora ajifanyie mambo yake mapema ajijengee mazingira yake mapema ya kuishi salama baaba ya Baba kumaliza vipindi vyake vya kuiongoza Tanzania sasa kama ndio ameenza kupika majungu sasa hivi ikifika hiyo 2015 kweli watu siwatakuwa na HASIRA na yeye na kutakuwa hakuna wa KUMTETEA maana Makamba nae atakuwa kwisha habari yake na Baba ndio naondoka au anafikiria Benno Malisa atamsaidia.

Haya sasa watanzania tumejionea wenyewe MAHINDI vimejitenga na MAGUGU. Yani wakati wote huo CCM hawakujua kuwa Bashe sio raia mpaka ameshinda kura za maoni za chama..?
 
CCM wapo very very Advance,angalia jinsi huyu Mzee Makamba mara tu wamebadilisha kauli zao hilo lilikwisha pangwa mapema wamtowe kijana kwanza halafu atafutwe nani atupiwe furushi la lawama zisizoingia akilini.na hapa ndani ya Jf kuna baadhi ya MADUBU wataikubali hiyo kauli ya maamba bila ya kuichambuwa katika akili zao
 
Pumbavu walishindwa cross check na jamaa wa uhamiaji instantly?
Nijuavyo kufanya uamuzi waitaji atleast 3 sources sasa wakarely on one source.
Ngoja niishie apo nsije tukana bure

dah, ushatukana. Pia jina la pili la huyo dogo linawapa ukakasi kulitamka ndo maana wanamzingua
 
atokee chizi mmoja awapige risasi hawa viongozi wabovu''top'' tuanze upya la sivyo hakuna mabadiliko Tz.
 
Hamna lolote walishapanga kumkandamiza Bashe siku zote hizo hawakujua kuwa Bashe hakuwa na URAIA mpaka ashinde kura za maoni..?

Hii yote inatokana na MAJUNGU na VISASI vya Ridhwan, Ridhwan na Bashe walipisha maneno sasa Ridhwan kushirikiana na SAWAHIBA wake wakaa mua kumuandalia ZENGWE la URAIa Bashe wakapeleka majungu kwa Baba ambae ni Rais na Mwenyekiti wa Chama tawala CCM na Rais bila kufuatilia na kupata uhaki anaamua kuwa Bashe sio RAIA, sasa wanakujaje na kusema kuwa ni RAIA..? CCM ni kijiwe cha MAJUNGU na FITINA ni ukiwaambia ukweli wanakuambia kuwa sio RAIS, mfani Jenerali Ulimwengu aliambiwa kuwa sio rai, juzo Mhe Mstapha Mkullo nae aliambiwa kuwa sio rai sasa miaka mitano yote mtu anakuwa wziri tena kwenye wizara nyeti ya Fedha na Uchumi leo unakuja kusema sio raia.

Mimi nataka kumpa USHAURI wa Bure kijana Ridhwan wewe ni WAKILI aende akawe WAKILI na ndicho alichosomea na ujiweekee mazingira mazuri ya kuishi baada ya 2015 na wala sio mabali amebakiasha MIAKA 5 ya kupika majungu baada ya hapo ataiona CCM ni chungu maana Baba atakuwa Msoga anapumzika na Makamba nae Bumbuli anapumzika hakuwa wa kumtetea na tabia MAJUNGU haimfai unashindwa kumalizana na mwanaume mwenzi unaenda kupika majungu na kumpelekea Baba ili iweje sasa FAIDA gani sasa ameipata?? Aibu tupu
 
sio hulka yetu.......sisi ni wastaarabu ingawaje naona ccm wanadai kuwa wameleta utulivu nchini......jibu ni hapana wabongo ni watu wenye upendo.
 
Yeye aseme tu kuwa mmoja wa wasaidizi wa Rais JK ni Ridhiwani!
 
Mzee Makamba majibu yake yanaonyesha msuguano mkali kati ya Ikulu na wizara husika.Raisi ni kiogonzi wa serikali na chama tawala CCM.Kwa maana wasaidizi wake wa Ikulu,Wizara ya Mambo ya Ndani,CCM,wako kwenye anga yake.Alishidwa vipi kutenganisha pumba na mchele wakati ndio ameshika usukani?Hiyo sintojua itawaghalimu CCM kwenye uchanguzi mkuu.

Jamani tuiacheni kujadili maigizo tunapoteza muda, tuna vitu vingi sana vya muhimu mbele yetu. Much better tujadili hata maigizo ya akina Kanumba!
 
Hamna lolote walishapanga kumkandamiza Bashe siku zote hizo hawakujua kuwa Bashe hakuwa na URAIA mpaka ashinde kura za maoni..?

Hii yote inatokana na MAJUNGU na VISASI vya Ridhwan, Ridhwan na Bashe walipisha maneno sasa Ridhwan kushirikiana na SAWAHIBA wake wakaa mua kumuandalia ZENGWE la URAIa Bashe wakapeleka majungu kwa Baba ambae ni Rais na Mwenyekiti wa Chama tawala CCM na Rais bila kufuatilia na kupata uhaki anaamua kuwa Bashe sio RAIA, sasa wanakujaje na kusema kuwa ni RAIA..? CCM ni kijiwe cha MAJUNGU na FITINA ni ukiwaambia ukweli wanakuambia kuwa sio RAIS, mfani Jenerali Ulimwengu aliambiwa kuwa sio rai, juzo Mhe Mstapha Mkullo nae aliambiwa kuwa sio rai sasa miaka mitano yote mtu anakuwa wziri tena kwenye wizara nyeti ya Fedha na Uchumi leo unakuja kusema sio raia.

Mimi nataka kumpa USHAURI wa Bure kijana Ridhwan wewe ni WAKILI aende akawe WAKILI na ndicho alichosomea na ujiweekee mazingira mazuri ya kuishi baada ya 2015 na wala sio mabali amebakiasha MIAKA 5 ya kupika majungu baada ya hapo ataiona CCM ni chungu maana Baba atakuwa Msoga anapumzika na Makamba nae Bumbuli anapumzika hakuwa wa kumtetea na tabia MAJUNGU haimfai unashindwa kumalizana na mwanaume mwenzi unaenda kupika majungu na kumpelekea Baba ili iweje sasa FAIDA gani sasa ameipata?? Aibu tupu
Jamani jamani jamani, maigizo maigizo maigizo!
 
aliyemponza Bashe ni Ridhwan na Benno Malisa Makamba aache kuropoka ropoka wanelewa ni kwa kiasi gani wamemuuzi Tycoon wa CCM Rostaaam.
 
Jethro,

Hilo la Makamba kali sana, bora afumbe kinywa chake.

Kuhusu kuchukua mtu wa tatu nafikiri maelezo ya CCM yana make sense. Wewe ulikuwa mbunge miaka mingi, wananchi wako wamekukataa
kwa kura nyingi sana, hii ni ishara hukubaliki, hivyo bora kuchukua mtu mpya. Walifanya hivyo hivyo hata Njombe kule kwa Nyimbo.

Ila nimeshangaa kwanini hawakufanya hivyo kule Iringa? Yule mama naye wangemtema.
mkuu natofautiana na wewe maana albam mpya ndio inavuma. kwa hiyo kingwangala a.k.a saidi bagaile alitakiwa kuvuma kama santuri mpya
 
Hao washauri wa rais ni akina nani? na walikua na role gani kwenye teuzi za CCM?
 
Back
Top Bottom