CCM yamwangukia Bashe!

CCM yamwangukia Bashe!

Pumbavu walishindwa cross check na jamaa wa uhamiaji instantly?
Nijuavyo kufanya uamuzi waitaji atleast 3 sources sasa wakarely on one source.
Ngoja niishie apo nsije tukana bure

On top of that,
Kwanini walimwacha Silelii Na kwenda kwa huyo mshindi wa tatu? still twa wa judge maaamuzi yao pia yana utata na hapo ndipo napo waaambia hawa viongozi wetu wa CCM dira ya uongozi imeisha potea na wanaongoza kwa kuamka leo na bora liende na sio watu wanao tizama alama za nyakati na kujua keshokutwa kwatakiwa kukuche vipi.

Mtu Mkuubwa kama makamba pato unakuwa na siasa za fitna sikushanga kumkana bashe kwani makamba alidiliki kuipindisha pendekezo la NEC kuuhu upigani wa kula siku chache kabla kur za maoni za CCM hazijaaanza na watu kupiga kur kiholela holela sasa alijaribu ficha makucha na hayafichiki na aibu hiyooo yaja dhurumaaaa mbaya sana.

Hii inaashiri kuwa makamba ukingo wa siasa kwako umefika na ndio mwisho wa mawazo yaka hapo just Resign tuuuu usepe kimya kimya sio lazima afikishe miaka 75 anayo sema Mungu amemwongezea.

Ni vigumu kuamini kama haya maneno yametoka kwa Kiongozi wa juu kabisa na mtendaji mkuu wa Chama tawala. Labda atayakanusha. Vinginveyo ni vugumu kuyaamini.

Ngoja niendelee kuwa TOMASO kwani kama ni kweli ina maana hakuna tena nchi inayoitwa TZ.

Mkuu hata mimi naona kama anakuwa Tomaso. Naona ni ujinga ambao hata katibu wa kijiji hawezi kusema. Mimi nimewahi kusema hivyo nikiwa shule ya misngi darasa la tatu, i can not believe kuwa wasaidizi wa rais wawe wajinga kiasi hicho, na siamini kama kweli Katibu Mkuu wa chama tawala anaweza kusema upupu kama huo.
 
Baba wa taifa aliwahi kusema zamani kabisa kwamba kiongozi kitaifa anayetegemea ushauri wa mke wake au mtoto wake ili kutoa maamuzi ya kitaifa hafai kabisa
 
Baba wa taifa aliwahi kusema zamani kabisa kwamba kiongozi kitaifa anayetegemea ushauri wa mke wake au mtoto wake ili kutoa maamuzi ya kitaifa hafai kabisa

Ukiwa unamaanisha hivi au???

JK VS Ridwani

or

Makamba VS Januari

They r trying to play stupid ili kufukia mashimo..hii haifuti ukweli kwamba CCM ni chama cha mafioso, ukipishana na ring leader tu umekwisha!
 
Ukiwa unamaanisha hivi au???

JK VS Ridwani

or

Makamba VS Januari
======

Well, yaani kati ya hawa nani mke JK kwa mantiki ya Baba wa Taifa?
Hata hivyo inachosha ukisikia maneno ya Makamba kwa sababu:;
-JK mwenyewe alisema Dar kuwa Ridhiwani asihusishwe na sakata hili
-JK alisema Kamati Kuu ililetwewa ushahidi wa bashe kutokauwa raia
-Sasa Makamba anasema wasaidizi ndio walisema

Tangu lini wasaidizi wakafanya kazi ya uhamiaji?
 
On top of that,
Kwanini walimwacha Silelii Na kwenda kwa huyo mshindi wa tatu? still twa wa judge maaamuzi yao pia yana utata na hapo ndipo napo waaambia hawa viongozi wetu wa CCM dira ya uongozi imeisha potea na wanaongoza kwa kuamka leo na bora liende na sio watu wanao tizama alama za nyakati na kujua keshokutwa kwatakiwa kukuche vipi.

Mtu Mkuubwa kama makamba pato unakuwa na siasa za fitna sikushanga kumkana bashe kwani makamba alidiliki kuipindisha pendekezo la NEC kuuhu upigani wa kula siku chache kabla kur za maoni za CCM hazijaaanza na watu kupiga kur kiholela holela sasa alijaribu ficha makucha na hayafichiki na aibu hiyooo yaja dhurumaaaa mbaya sana.

Hii inaashiri kuwa makamba ukingo wa siasa kwako umefika na ndio mwisho wa mawazo yaka hapo just Resign tuuuu usepe kimya kimya sio lazima afikishe miaka 75 anayo sema Mungu amemwongezea.

Jethro,

Hilo la Makamba kali sana, bora afumbe kinywa chake.

Kuhusu kuchukua mtu wa tatu nafikiri maelezo ya CCM yana make sense. Wewe ulikuwa mbunge miaka mingi, wananchi wako wamekukataa
kwa kura nyingi sana, hii ni ishara hukubaliki, hivyo bora kuchukua mtu mpya. Walifanya hivyo hivyo hata Njombe kule kwa Nyimbo.

Ila nimeshangaa kwanini hawakufanya hivyo kule Iringa? Yule mama naye wangemtema.
 
Halafu kuna watu hapa wanakuja na ushawishi eti aina hii ya viongozi inafaa kupewa kipandi kingine kutuongaza ilihali masuala madogo kama haya wanavurunda katika nchi yenye matatizo lukuki. Jee yale matatizo makubwa yanayohitaji vichwa vilivyo tulia wataweza? Ni sawa na kupanda ndege ambayo rubani hata hajui mnaelekea wapi. Hawa tuwapumzishe, kulitumikia taifa ziko nyanja nyingi, hata kulima mananasi tuu ni mchango katika uchumi
 
Baba wa taifa aliwahi kusema zamani kabisa kwamba kiongozi kitaifa anayetegemea ushauri wa mke wake au mtoto wake ili kutoa maamuzi ya kitaifa hafai kabisa

Makamba n weak leader, lakini hizi hadithi za Nyerere zinatia kichefuchefu, Yeye Nyerere hakutaka ushauri wa waatalam au mtu mwingine yoyote alikuwa ha ambiliki, bully,,, Maneno yake yabaki kinywani mwake.
 
Pumbavu walishindwa cross check na jamaa wa uhamiaji instantly?
Nijuavyo kufanya uamuzi waitaji atleast 3 sources sasa wakarely on one source.
Ngoja niishie apo nsije tukana bure

Umekwishatukana
 
Msiogope ndugu watanzania, tusio raia twaweza kuwa wengi sana na hasa pale anaposhikwa mtu mzima sehemu nyeti na ashindwe pa kujitetea ni lazima tu atakwangukia..

''GIVE A DOG A BAD NAME AND HANG HIM''

Japo hayo yote huja na kupita naombeni tuwe watulivu na tushikie misimamo na twendelee kuvumilia, si mbali twendako ni palee... Tazama vyema utapaona na kwa hakika itafahamika...
 
Makamba akisema Wasaidizi wa rais kwa suala hili ina maana ni INTELLGENZE system. Kwa hiyo USALAMA WA TAIFA uko si tu kisiasa bali kichama. Je wameshauri vyama gani vingine kuhusu uraia wa wagombea wao.
 
Akizungumza na Nipashe jijini dar es salaam jana,Makamba alisema chama chake kilipata Vielelezo kwamba Bashe si raia kutoka kwa wasaidizi wa Rais hivyo CCM haistahili lawama

'' Wasaidizi wa Rais ndiyo walituambia sisi kuwa Bashe si Raia sasa kama wizara ya mambo inasema ni raia basi ituambie ,lakini leo tunaendelea kuamini tulichoambiwa na wasaidizi wa rais''

One of many self-incriminating and embarrassing statements by CCM leadership. Seriously, they ought rescind his position before matters turn irreversibly nasty from these shambolic revelations!!
 
Katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi (CCM) Yusuph Makamba ,amesema kama aliyeenguliwa kugombea ubunge jimbo la Nzega na chama hicho Hussein Bashe,ni raia halali wa Tanzania basi anayestahili kubebeshwa lawama ni wasaidizi wa JK na si chama hicho

Akizungumza na Nipashe jijini dar es salaam jana,Makamba alisema chama chake kilipata Vielelezo kwamba Bashe si raia kutoka kwa wasaidizi wa Rais hivyo CCM haistahili lawama

'' Wasaidizi wa Rais ndiyo walituambia sisi kuwa Bashe si Raia sasa kama wizara ya mambo inasema ni raia basi ituambie ,lakini leo tunaendelea kuamini tulichoambiwa na wasaidizi wa rais''

Source Nipashe

Hovyo kabisa... unabadilsha kilichoripotiwa na Nipashe

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Yusuf Makamba, amesema kama aliyeenguliwa kugombea ubunge Jimbo la Igunga na chama hicho, Hussein Bashe, ni raia halali wa Tanzania basi anayestahili kubebeshwa lawama ni Wizara ya Mambo ya Ndani na si chama hicho.
Akizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam jana, Makamba alisema chama chake kilipata vielelezo kwamba Bashe si raia kutoka wizara hiyo hivyo CCM haistahili lawama.
“Wizara ndiyo ilituambia sisi kuwa Bashe si raia sasa kama wizara hiyo hiyo inasema ni raia basi ituambie kuwa taarifa ilizotupa hazikuwa sahihi, lakini hadi leo tunaendelea kuamini tulichoambiwa na wizara,” alisema Makamba.
Alisema CCM haijapata maelezo yoyote kutoka wizara hiyo kuhusu maelezo tofauti na yale waliyonayo kuhusu uraia wa Bashe.
Alisema hata Bashe kama ana vielelezo vya kuthibitisha uraia wake anapaswa kuviwasilisha CCM na kuulizia kuhusu hatma yake.
Alisema Bashe hajawasilisha vielelezo vya kuthibitisha uraia wake CCM ingawa anapaswa kufanya hivyo.
“Sisi tulimwengua kwa kigezo kwamba si raia wa Tanzania na serikali ndiyo ilitupa hizo taarifa sasa kama waliotupa sisi taarifa wametoa maelezo mengine Bashe aje atuthibitishie uraia wake na ikithibitika ni raia halali basi wizara ndiyo itakuwa imemuonea na si chama,” alisema Makamba.
Alisema hata ikithibitika kuwa uraia wa Bashe ni halali maamuzi ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya kumwengua kuwania ubunge Nzega hauwezi kubatilishwa kwa kuwa mgombea tayari ameshapatikana.
Mgombea wa sasa wa jimbo la Nzega kupitia CCM ni Dk. Hamis Kigwangalah..

CHANZO: NIPASHE

Kwani huyo Makamba siaachie ofisi. kwani lazima akae hapo mpaka muda wake uishe? Mikatibu mingine bana. Inaudhi sana kusoma habari kama hii.
 
Pumbaf, kila mara nimesikia wasaidizi wa rais ndio wa kulaumiwa lakini mi najiuliza kama wasaidizi wako wanakupotosha(tena sio mara moja wala mbili) then mwenye matatizo ni wewe mwenyewe yaani "your choice" umekubali wanakuchezea chezea wanakudanganya
 
Wizara ndiyo ilituambia sisi kuwa Bashe si raia sasa kama wizara hiyo hiyo inasema ni raia basi ituambie kuwa taarifa ilizotupa hazikuwa sahihi, lakini hadi leo tunaendelea kuamini tulichoambiwa na wizara,” alisema Makamba.
Hii wizara anayoongelea Mkamba ni ipi kwani Wizara ya Mambo ya Ndani kupitia Idara ya Uhamiaji ilisema tokea mwanzo kabisa kuwa Bashe ni raia. Na hawa wasaidizi wa Kikwete wanaobebeshwa lawama kila mambo yanapoharibika ni akina nani ? Halafu wanatokea watu na akili zao timamu wanautetea utawala huu wa kihuni na kupendekeza uongezewe miaka mingine mitano ya ubabaishaji, God forbid ! Believe this and you'll believe anything !
 
Back
Top Bottom