CCM yamwangukia Bashe!

CCM yamwangukia Bashe!

The problem here is NOT why BASHE was left out but the problem is the reasons given are awkward and do not represent the truth and yet they come from the president himself. I am not comfortable with this type of leadership, I am not sure if president what is credible in thisi cpuntry? Is it MoHA or some few individual chosen by the presidency institute to be closer with the president one of them being his family by default? It seem that anyone who crossed words with R.Kikwete was a target and this is really bad, people of this nation, small things like these which see they are small but they are very detrimental at individual and even country level may lead to some unwelcome decisions to few individuals who they may not see where to run to. when you close all the windows and you start beating your own cat, rest assured that you will get serious bruises or even loose the eyes.
We must trust institutions we have, otherwise, there will be no any good governance from our leaders. I think you don't need to give the referee more matches if he has squandled the first match. TFF may be can do that, but FIFA won't..... Wanachi have to know the facts and have to cast their votes while they know what they are doing. I believe that CCM has this year but 2015, will not be such easy, there will be MPs confirmed even before the elections, the race will be tough and tougher and 45-50% of the voters will be the breed of the ward schools who know less of the regime history or who are suffering and they know why the are suffering.
We Need Strong Institutions and NOT Strong Leaders. This is what we lack in Africa, Tanzania inclusive.
 
Makamba kwa zile kauli zake wakati 'anamvua' Uraia Bashe na kuwakejeli Uhamiaji alistahili kujihudhuru...sema ndio hivo tena anatafuta kwa kutupa lawama.
 
Kigwangwala anafanya kazi kwenye ngo ya salma kikwete na alishaahidiwa ubunge, yote danganya toto
 
Yamezungumzwa mengi saaaana kuhusu utata wa Uraia wa Hussein Bashe. Napenda kuwafahamisha kuwa kijana huyu hana sifa za Uraia wa Tanzania. Kama ataendelea kulalamika itabidi tulete madudu yote ya Uraia wa wazazi wake wote wawili na yeye mwenyewe. Tuache ushabiki wa kijinga wakati suala la Usalama wa Nchi linaguswa, tutachekwa watanzania. Narudia tena, Hussein Bashe SIO RAIA WA TANZANIA. Kwa wale marafiki zake naomba mukamuulize kama anataka tumuumbue humu JF. Tumekaa kimya kwa kumlindia heshima yake na kuthamini utu wa mtu tu, na sio vinginevyo. Yeye na marafiki zake wanajua ukweli wa jambo hili. Wakiendelea basi hakutakuwa na jingine lolote zaidi ya kumwaga ukweli ndani ya JF na media yote kwa ujumla ili wananchi wengi waone madudu aliyoyafanya kupata hadhi hiyo.
 
Rais Kikwete hakudanganywa hata kidogo na wasaidizi wake waliompa taarifa ya utata wa Uraia wa Hussein Bashe. Maamuzi aliyoyachukua yalikuwa shahihi na stahili kabisa. Tusikubali kuchezewa ovyo ktk suala la Usalama wa Nchi. Huyu Hussein Bashe ni nani ktk Nchi hii? Ujinga huu anaweza kuthubutu kuufanya Somalia? Sitaki kwenda ndani zaidi kwani bado ninaheshimu utu wake, hivyo nalazimika kuwa mpole, ila wapambe wake wakiendelea kudai kuwa ameonewa, basi itabidi tuweke ukweli hadharani. Kwa kufanya hivyo, tutakuwa tumemvua kaheshima kake alikobakiwa nako.
 
Na Lt Col Abrahaman Kinana?
 
Yamezungumzwa mengi saaaana kuhusu utata wa Uraia wa Hussein Bashe. Napenda kuwafahamisha kuwa kijana huyu hana sifa za Uraia wa Tanzania. Kama ataendelea kulalamika itabidi tulete madudu yote ya Uraia wa wazazi wake wote wawili na yeye mwenyewe. Tuache ushabiki wa kijinga wakati suala la Usalama wa Nchi linaguswa, tutachekwa watanzania. Narudia tena, Hussein Bashe SIO RAIA WA TANZANIA. Kwa wale marafiki zake naomba mukamuulize kama anataka tumuumbue humu JF. Tumekaa kimya kwa kumlindia heshima yake na kuthamini utu wa mtu tu, na sio vinginevyo. Yeye na marafiki zake wanajua ukweli wa jambo hili. Wakiendelea basi hakutakuwa na jingine lolote zaidi ya kumwaga ukweli ndani ya JF na media yote kwa ujumla ili wananchi wengi waone madudu aliyoyafanya kupata hadhi hiyo.

Mkuu hapa ndio mahali ambapo 'we dare to talk openly'. Kama unazo weka data hapa tuchambue wenyewe
 
Asilia,
Kigangwala ametumia haki yake kama Mtanzania kugombea Ubunge. Hakuna sehemu hata moja ktk Katiba ya Nchii hii inayosema kwamba kuwa msaidizi wa Rais au mfanyakazi wa First Lady basi unapoteza sifa na haki yako ya kikatiba ya kupiga au kupigiwa kura. Ni vizuri kama utatuletea ushahidi wa kuahidiwa kwake Ubunge, badala ya kumtuhumu mtu bila ushahidi.
 
MPAMBALYOTO,
I will dare doing so only if Hussein Bashe will come out and say, go ahead. I know very well that he is one of a good member of JF, let him speak out, and I will provide all necessary documents that shows how much he fodged his citizenship. I have decided to contribute on this thread because they have blamed too much the President Kikwete for final decision about his fate in politics in Dodoma.
 
LUSAJO,

Idara ya Uhamiaji ilipewa agizo toka juu likielekeza Hussein apewe Uraia.
 
Rev Masanilo,

Hapa tunazungumzia utata wa Uraia wa Hussein Bashe. Kinana ameingiaje tena? Ni nani kalalamikia Uraia wa Kinana?
 
Rev Masanilo,

Hapa tunazungumzia utata wa Uraia wa Hussein Bashe. Kinana ameingiaje tena? Ni nani kalalamikia Uraia wa Kinana?

Umeshindwa kuelewa kuwekwa matatani kwa Bashe wakati Kinana naye anatatizo hilo hilo ama unamakengeza?
 
Nimekuelewa vizuri. Swali langu ni kuwa, "ni nani kalalamikia utata wa Uraia wa Kinana"? au ni wewe unalalamika sasa hivi?
 
Nimekuelewa vizuri. Swali langu ni kuwa, "ni nani kalalamikia utata wa Uraia wa Kinana"? au ni wewe unalalamika sasa hivi?

Mkuu kama kumbu kumbu ziko sahihi Kinana aligombea Ubunge wa Arusha, wapinzani wakaja na hii issue ya uraia, Kinana akatoa jina na baada ya hapo amekuwa akiendesha siasa za fitina ndani ya CCM. Utata wa uraia wake ni suala lililowazi ila kwa kuwa yuko kwenye spheres za wenzake ndo maana anadunda tu!
 
Rev Masanilo,

Hebu jibu swali langu kwanza. Ni nani kalalamikia uraia wa Kinana, ni wewe unalalamika sasa hivi au?
 
Nadhani alitoa jina baada ya kugundua kuwa ana tatizo ktk kugombea nafasi ile aliyoomba. Hapa naona una majibu yote wewe mwenyewe. Je tatizo la Kinana ni nini kwa sasa?
 
LUSAJO,

Idara ya Uhamiaji ilipewa agizo toka juu likielekeza Hussein apewe Uraia.
Translation.... idara ya uhamiaji haifanyi kazi kwa utashi bali hufanya kwa kutumwa-tumwa na walio juu [si mungu though] ambao ni wahalifu, wasiofuata sheria za nchi, wenye dharau, criminals na kila uchafu, na wengine si raia, na bashe benefitted from the system inayoenziwa na chama cha mapinduzi... Am i right???

No wonder we have lots of chinese, yemenis and Indians with our passports without even say jambo

yani wewe ndio umeharibu kabisa.. naona umewavua guo waliokutuma ukidhani wanawavisha
 
Back
Top Bottom