CCM yamwangukia Bashe!

CCM yamwangukia Bashe!

nchi hii bana

leo wamejua kuwa ni raia?!

octoba 31 tutaamua.
chadema oyeeeeeeeeeeeeee
 
Mbona hawajatangaza kumrudisha nafasi zake za chamani?:smile-big:
 
Mimi nilijua tuu wanamwonea Bashe wa watu hiyo yote inatokana na SIASA za UADUI na VISASI. CCM ni Chama ambacho kinanedeshwa kwa ubabe tuu na wale wote ambao walihuisika na hiyo issue ya URAIA wa Bashe siku yao nayo inakuja watakiona cha mtema kuni

Ridhwan J Kikwete mimi naomba nimpe USHAURI wa BURE ni bora akafanye kazi aliyoseomea SIASA haziwezi kazi yake ni kupika majungu na kuyapeleka kwa BABA yake akijua fika kuwa lazima BABA yake atayafanyia KAZI alishindwaje kutatua tofauti zake na BASHE..? Huo sio UANAUME siku inafika Baba yake atoka pale na atakuwa MTAANi ndio atakapoona kuwa MAharage sio mboga ajifunze kutoka kwa wengine

Nakumbuka Ridhwan J Kikwete alipokuwa MLIMANI alikuwa KIJANA mzuri mpole na kila mtu alikuwa akimfurahia sasa baada ya Baba kushika Ulingo ndio akaonyesha JEURI yake hana lolote Siku yako inafika na wala sio mabli ni Mwaka 2015 ndipo utakapoona maana ule muda wa kubebwa utakwisha ni bora ajifanyie mambo yake mapema ajijengee mazingira yake mapema ya kuishi salama baaba ya Baba kumaliza vipindi vyake vya kuiongoza Tanzania sasa kama ndio ameenza kupika majungu sasa hivi ikifika hiyo 2015 kweli watu siwatakuwa na HASIRA na yeye na kutakuwa hakuna wa KUMTETEA maana Makamba nae atakuwa kwisha habari yake na Baba ndio naondoka au anafikiria Benno Malisa atamsaidia.

Haya sasa watanzania tumejionea wenyewe MAHINDI vimejitenga na MAGUGU. Yani wakati wote huo CCM hawakujua kuwa Bashe sio raia mpaka ameshinda kura za maoni za chama..?
We bwana we acha kupotosha watu hapa, mbona unazungumzia 2015 kama vile ndio baba yake atatoka pale magogoni? hujui kuwa october 31 2010 ndio mwisho? Tunaingia dhama mpya na kuachana na mambo ya majungu majungu katika utendaji.
 
Pumbavu walishindwa cross check na jamaa wa uhamiaji instantly?
Nijuavyo kufanya uamuzi waitaji atleast 3 sources sasa wakarely on one source.
Ngoja niishie apo nsije tukana bure

Umeshatukana mkuu. Hahahahaaa, mpiganaji pole sana. Nchi hii inavioja vya ajabu!!!!
 
Safi sana kama chama chenyewe kinatuambia kuwa hana uwezo hata wa kutafuta wasidizi wenye kuweza kumshauri vyema kuna haja gani ya watanzania kuendelea kumwammini JK aendelee kuongoza Tanzania yenye watu miliono 40 kama suala la mgombea mmoja limemshinda?

Kwa kuwa Serikali huwekwa na chama cha siasa ni wazi kuwa chama cha siasa na viongozi wake wanaoweka Serikali kuongoza nchi wanatakiwa kuwa makini zaidi ili kuweza kutambua yate yanayoamuliwa na kutekelezwa na watendaji wa Serikali iliyowekwa na chama husika. Kauli ya Makamba nni sawa a kutuambia kuwa uwezo wa viongozi wa CCM ni mdogo kuliko watendaji wa Serikali hususan idara ya Uhamiaji.

Sasa kwa kuwa masuala mengi sana hapa nchini yanakwenda kombo kama vile utoleaji wa huduma za jamii kutosimamiwa vyema ili kuwafikia wananchi kwa kiwango kinachoridhisha, ikiwa viongozi wa CCM wameshindwa kusiamamia suala hili dogo watawezaje kusimamia masuala ya Kitaifa katika Mikoa, Wilaya, Tarafa. Kata. Vijiji na Mitaa? Kuna haja gani kwa watanzania kuendelea kuiamini CCM kwa kuongoza taiafa hili.

Asante sana Makamba kwa kutufungua macho!!!!!!!
!
 
Mimi sishangai, JK sio mtu wa kufikiria mara mbili ndio maana hafai kuwa rais. Kwa kweli Makamba amesema ukweli wa moyo, JK amedanganywa, na hii si mara ya kwanza kwake kudanganywa na akadanganyika na kulipuka. Sasa jamani chama kama hiki kinachojichanganya hivi si kimezeeka na kushindwa kazi? Tunataka mabadiliko na safari hii HATUDANGANYIKIIIIIIII
 
Ha ha hahaaaaaaaaaa! Dogo Bashe, Na bado! Tunasubiri utangaze nia tena 2015, tuyatoe mengine, Silaha iliyotumika si ya kukuua ila ni kukutaarifu kuwa yapo makubwa yanakuja iwapo utajifanya unataka kugombea tena 2015; Nakushauri kama unataka usigombee Nzega.

Kama Yesu alivyomwambia Petro nami nafanya vivyo ivyo "rudisha silaha/kisu alani mwake". Ninafanya ivyo kwakuwa biashara ya mwaka huu imeisha tunakusubiri utangaze nia tena.

Nyie Watanzania wenzangu: Tambueni kuwa uraia wenye maswali hata kama upo (kwambali) basi ujue haupo: Jamaa toka anasoma alikuwa akiapa kurudi Somalia siku moja. Je ninyi mliapa kufanya nini?
Kama anataka aende somalia akachukue nafasi za wabunge waliouawa na "ALSHABABU" tena anafaa sana huko.

KWAHERI BASHE! Hayo ndio malipo mwanangu!!!!!!!!!!!!!!!
 
Katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi (CCM) Yusuph Makamba ,amesema kama aliyeenguliwa kugombea ubunge jimbo la Nzega na chama hicho Hussein Bashe,ni raia halali wa Tanzania basi anayestahili kubebeshwa lawama ni wasaidizi wa JK na si chama hicho

Akizungumza na Nipashe jijini dar es salaam jana,Makamba alisema chama chake kilipata Vielelezo kwamba Bashe si raia kutoka kwa wasaidizi wa Rais hivyo CCM haistahili lawama

'' Wasaidizi wa Rais ndiyo walituambia sisi kuwa Bashe si Raia sasa kama wizara ya mambo inasema ni raia basi ituambie ,lakini leo tunaendelea kuamini tulichoambiwa na wasaidizi wa rais''

Source Nipashe

mi mbado kuelewa kwa kweli............. HIVI.NANI AKIONGOPA NDO TUTASEMA CHAMA KIMEDANGANYA.........??? MAANA mwenyekiti wa CCM (Kikwete) akidanganya....SI CHAMA.......... Makamba naye (Katibu) alitshasema Bashe si raia............. SI CHAMA.................. sasa nani ni chama............. TUKUMBUKE BASHE HAKUONDOLEWA NA KIKWETE WALA MAKAMBA.............. BALI MKUTANO HALALI WA CHAMA ................. mkutano nao umedanganya ............... SI CHAMA............. sasa chama (CCM) ni nani.............????
 
Ha ha hahaaaaaaaaaa! Dogo Bashe, Na bado! Tunasubiri utangaze nia tena 2015, tuyatoe mengine, Silaha iliyotumika si ya kukuua ila ni kukutaarifu kuwa yapo makubwa yanakuja iwapo utajifanya unataka kugombea tena 2015; Nakushauri kama unataka usigombee Nzega.

Kama Yesu alivyomwambia Petro nami nafanya vivyo ivyo "rudisha silaha/kisu alani mwake". Ninafanya ivyo kwakuwa biashara ya mwaka huu imeisha tunakusubiri utangaze nia tena.

Nyie Watanzania wenzangu: Tambueni kuwa uraia wenye maswali hata kama upo (kwambali) basi ujue haupo: Jamaa toka anasoma alikuwa akiapa kurudi Somalia siku moja. Je ninyi mliapa kufanya nini?
Kama anataka aende somalia akachukue nafasi za wabunge waliouawa na "ALSHABABU" tena anafaa sana huko.

KWAHERI BASHE! Hayo ndio malipo mwanangu!!!!!!!!!!!!!!!

Mmmhhh........... Makubwa haya!!!
The way I see it......hawa jamaa wanafahamiana long time!!
And kajiunga kwa ajili ya kuja kummaliza bashe....

Apendwae
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
  • email.png
    Send Email
user-online.png
Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join DateSun Aug 2010
Posts3
Thanks : 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Kazi ipo.........>>>>
 
What better reason do Tanzanians need to kick CCM butt come October 31 this year?
Kiongozi wa juu wa chama mwenyewe hawezi kuisimamia kauli aliyoitoa siku chache zilizopita, na hiyo ni katika ngazi ya chama! Sihitaji kukuambia itakuwaje watu kama hawa wakishika nafasi za kuongoza nchi kwa maamuzi haya na namna yao ya kufanya maamuzi.
Hawa ndio wale watakaokuja kuuza nchi na wananchi wake kisa eti kuna kampuni za uwindaji zinahitaji vitalu vya uwindaji!
Shame on you CCM. May you die forever!
Hivi CCM na wana-CCM mafisadi mnajua ni kwa jinsi gani mnaua wananchi wa nchi hii kwa maumivu wanayoyasikia kwa dhuluma mbali mbali mnazozifanya kila siku?

Iko siku...!
 
'' Wasaidizi wa Rais ndiyo walituambia sisi kuwa Bashe si Raia sasa kama wizara ya mambo inasema ni raia basi ituambie ,lakini leo tunaendelea kuamini tulichoambiwa na wasaidizi wa rais''

Yani kila kitu wanasingiziwa wasaidizi wa Rais, kila madudu yanayotendeka wanabebeshwa wao, basi hii inatuaminisha kwamba hata maamuzi yote wanafanya wao coz inaelekea kila wanalompelea JK huwa linapita tu bila kujiridhisha. Mbona hatujawahi kusikia amewabadilisha basi kama kweli anachukizwa na namna wanavyomuingiza chaka! Ataendelea kuwasingizia wasaidizi wake mpaka lini? Na nini haja ya kuendelea kuwa na Rais kama JK endapo hata uwezo wa kugundua pale anapodanganywa hana?
 
Kuna utata hapa. What is so special with BASHE mpaka afuatiliwe na wasaidizi wa raisi???? Kwani wajumbe wengine wa mkutano hawamfahamu Bashe au ina maana JK alimwondoa mwenyewe bila kujali maoni ya wajumbe?
 
Wasaidizi wa Rais (kiongozi wa Serikali) wana uhusiano gani na masuala yanayohusu Chama? Muhusika mkuu katika masuala hayo ni yeye mwenyewe Mzee Makamba ambaye alipaswa kutafuta ukweli wa habari hiyo kabla hawajamdhalilisha kijana wa watu asiye na hatia. Hata hivyo, what goes around comes around. Kama Bashe ni 'kijana' wa Rostam it serves him right!
 
Katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi (CCM) Yusuph Makamba ,amesema kama aliyeenguliwa kugombea ubunge jimbo la Nzega na chama hicho Hussein Bashe,ni raia halali wa Tanzania basi anayestahili kubebeshwa lawama ni wasaidizi wa JK na si chama hicho

Akizungumza na Nipashe jijini dar es salaam jana,Makamba alisema chama chake kilipata Vielelezo kwamba Bashe si raia kutoka kwa wasaidizi wa Rais hivyo CCM haistahili lawama

'' Wasaidizi wa Rais ndiyo walituambia sisi kuwa Bashe si Raia sasa kama wizara ya mambo inasema ni raia basi ituambie ,lakini leo tunaendelea kuamini tulichoambiwa na wasaidizi wa rais''

Source Nipashe
Kweli kama hiyo habari ni kweli basi tuhakikishe tuchagua viongozi makini 31 octoba, 2010 kwani kwa sasa tuna wasanii si viongozi.Viongozi gani wanatunga sheria wasioifuata,wanafuja rasilimali za nchi na kuongoza nchi kifamilia.Watanzania tujiunge kuwaondosha wasanii wote katika uchaguzi ujao.
 
Back
Top Bottom