CCM yamwangukia Bashe!

kwani wewe kakutuma nani hapa JF? NDIO KWANZA UNA POST MOJA UMEANZA NA MAJUNGU.

BY THE WAY HAKUNA MTU ANAITWA HUSEN BALI KUNA HUSSEIN.MWAMBIE BOSI WAKO AKUFUNDISHE KUANDIKA KWANZA.



kanda2 usiwe mkali kwani wenye hati miliki ya jf ni sisi sote suala la kuwa na post moja au la si hoja. kumbuka hapa ni where we dare to talk openly sio huko kwenye chama chako ambapo wote wanaoulizia maamuzi ya utata yasiyo na maslahi kwa taifa, huishia na hatma kama ya selelii.

huyu bw selelii ni mhanga kwa hicho unachojaribu kumfanyia zyansiku ; usisahau ya shibuda naye tayari ameshafukuzwa kwa kuambiwa na makamba; yeye shibuda na wenzake waondoke chamani.

kifupi; huyo jamaa ametumwa na mafisadi kwa kisingizio cha ujirani mwema kama alivyogundua shibuda na selelii mwenyewe.
 
Nianze kwa kupokea lugha isiyo ya kistaraabu kwa ndugu yangu aliyeniambia kuwa naanza na post moja kwa majungu, labda hatukuelewana. binafsi nilikuwepo eneo la mkutano ninachouliza kwa jinsi mkutano ulivyokuwa mkubwa na watu walivyokuwa wametulia wakimsikiliza kijana bashe akielezea maneno matamu kwa watu wa nzega,na tumezoea kuona watu wakiwa wanataka madaraka hutumia lugha ambali mbnali kama vile nimetumwa na Mzee wa ikulu kugombea , nimeitwa na wazee kugombea nk, swali kwa watu wa Nzega ni kuwa bashe katumwa na nani maana hata mi binafsi nilikuwepo eneo husika kama nilivyosema na nilivutiwa sana na ujasiri wa bashe wa kumiliki jukwaa npia kwa uchambuzi wa mambo mbali mbali kitu ambacho mbunge wetu wa jimbo amekuwa akikwepa mikutano ya hadhara na mara kadhaa amekuwa akidandia kazi zifanywazo na serikali na kusema kuwa amezifanya yeye. inawezekana nyuma ya bashe yupo mungu maana watu wa nzega tumetaabika vya kutosha , umeme wa Ndalla unasua sua kwa Mbunge wa jimbo kufanya kazi za kitaifa zaidi nyingine hazitusaidii sisi wa mwaka shahara. HONGERA SANA BASHE NYUMA YAKO YUPO MUNGU!

by the way yule mgombea wako daktari hamisi yupo wapi? ningependa utupe feedback yake kabla hujaanza kumsifia bashe! kwangu bashe mimi ni msomali/mwarabu kama walivyo wengine........sioni tija yake kwa tz labda nchini mwake !!!!
mix with yours
 
Ni ajabu na aibu kuona watanzania wanaojiita wasomi wakitetea upumbavu na recipe ya kumaliza kabisa taifa lao, kwanza tumeanza na R.A mu iran tukambadilia we mnyamwezi ilimradi tu anapesa za kuturambisha rambisha. Leo hii tunajua kabisa kwamba Bashe si Raia, kafukuzwa Mwananchi kwa kashfa, kaenda habari hakuna alilofanyabaili kuwa formal and glorified messenger wa mafisadi katika harakati chafu za kuwamaliza watanzania na watoto wao na uchumi wao, leo mnatangaza uchafu wenu hapa kwa sifa za ujanjaweed? hayo ya Uganda ni madogo, angalau walilipua toka nje, hawa mmewaingiza jikoni halafu mnataka na sisi tukubali hayo mnayosema kwa kupewa vijisenti huku hat nyinyi mkijua kwamba hayana ukweli. mwaka huu tunakufa na nyie 'tumekataa' hatudanganyiki hivi nyinyi mnaweza kwenda kugombea ubunge somalia? halafu wasomali wakagengeneza thread za kuwasifia na kuwapongeza tukiwauliza track record ya performance iko wapi mtatuambia ni ile ya kuwa mbwa koko wa wakina R.A, hivyo ndivyo vigezo vya uongoziwa watanzania. Hongereni sana.......
 
Inawezekana ametumwa na huyo aliyemfundisha lugha nzuri ya kuongea na watu. Wewe ulikuwepo kwenye huo mkutano, kisha uje kuuliza hapa watu ambao baadhi, huenda wengi wao hawakuwepo huko Nzega. Yaani kweli mtu unaona mkun.....u wa sungura kisha unauliza mkia uko wapi!!:confused2::eyeroll2: Itapendeza kama utamuuliza RA anaweza kukusaidia kwa hilo.
 
Katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi (CCM) Yusuph Makamba ,amesema kama aliyeenguliwa kugombea ubunge jimbo la Nzega na chama hicho Hussein Bashe,ni raia halali wa Tanzania basi anayestahili kubebeshwa lawama ni wasaidizi wa JK na si chama hicho

Akizungumza na Nipashe jijini dar es salaam jana,Makamba alisema chama chake kilipata Vielelezo kwamba Bashe si raia kutoka kwa wasaidizi wa Rais hivyo CCM haistahili lawama

'' Wasaidizi wa Rais ndiyo walituambia sisi kuwa Bashe si Raia sasa kama wizara ya mambo inasema ni raia basi ituambie ,lakini leo tunaendelea kuamini tulichoambiwa na wasaidizi wa rais''


Source Nipashe
 
Pumbavu walishindwa cross check na jamaa wa uhamiaji instantly?
Nijuavyo kufanya uamuzi waitaji atleast 3 sources sasa wakarely on one source.
Ngoja niishie apo nsije tukana bure
 
Hawa si watu wa kuwajadili, wanatupotezea mwelekeo. Hilo genge linalosemewa na Makamba lilijua ni nini linataka kumfanyia dogo, na shughuli imekamilika
 
Mzee Makamba majibu yake yanaonyesha msuguano mkali kati ya Ikulu na wizara husika.Raisi ni kiogonzi wa serikali na chama tawala CCM.Kwa maana wasaidizi wake wa Ikulu,Wizara ya Mambo ya Ndani,CCM,wako kwenye anga yake.Alishidwa vipi kutenganisha pumba na mchele wakati ndio ameshika usukani?Hiyo sintojua itawaghalimu CCM kwenye uchanguzi mkuu.
 
Hao ndio wanajiita viongozi wa nchi....lol! Makamba hii ni aibu mbwembwe zote zile wakati unasema Bashe sio RAIA alizitowa wapi hii inaonyesha ni jinsi gani CCM wanakurupuka bila kufanya utafiti :mad2:
 
Katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi (CCM) Yusuph Makamba ,amesema kama aliyeenguliwa kugombea ubunge jimbo la Nzega na chama hicho Hussein Bashe,ni raia halali wa Tanzania basi anayestahili kubebeshwa lawama ni wasaidizi wa JK na si chama hicho

Akizungumza na Nipashe jijini dar es salaam jana,Makamba alisema chama chake kilipata Vielelezo kwamba Bashe si raia kutoka kwa wasaidizi wa Rais hivyo CCM haistahili lawama

'' Wasaidizi wa Rais ndiyo walituambia sisi kuwa Bashe si Raia sasa kama wizara ya mambo inasema ni raia basi ituambie ,lakini leo tunaendelea kuamini tulichoambiwa na wasaidizi wa rais''


Source Nipashe


kuna wakati kukaa kimywa ni bora zaidi kuliko kuongea. Ni ujinga kusema wasaidizi wa rais waliambiwa kuwa Bashe si rais. Who is ina a position to tell whether Bashe ni rais au si raia, Uhamiaji au wasaidizi wa rais. Wasaidizi wa rais wenyewe ni nani, huenda wengine hata si raia
 
Huu ni ushahidi mwingine kwamba wanaendesha chama na nchi kimajungu majungu + visasi+ nepotisms
 
hakuna cha msaidizi wa rais wala nini..... ni usanii usio na maana kabisa, haufai hata kusikiliza, wameshamlostisha bashe kwa beef la mtoto wa rais. Anyway kama mmshajua kuwa ni raia kwa nini msimruhusu agombee???????
 
Hii nchi kweli inaendeshwa na wajinbhjjjjjjjjjjjjjllmaDooo !! kweli tutafika !
 
Ni vigumu kuamini kama haya maneno yametoka kwa Kiongozi wa juu kabisa na mtendaji mkuu wa Chama tawala. Labda atayakanusha. Vinginveyo ni vugumu kuyaamini.

Ngoja niendelee kuwa TOMASO kwani kama ni kweli ina maana hakuna tena nchi inayoitwa TZ.
 
Back
Top Bottom