CCM yakata tamaa, yajipanga upya

CCM yakata tamaa, yajipanga upya

Vichwa kama vya kina coco nani sijui utegemee vitashawishi watu kweli?
 
Chama cha Mapinduzi (CCM),kimekata tamaa katika kutawala mitandao ya kijamii. Kwa mujibu wa kigogo mmoja wa CCM hapa Dodoma (ambaye si Msemaji wa chama),CCM imeshindwa kupata ushawishi katika mitandao ya kijamii ikiwemo JF

Kitengo cha Itikadi na Uenezi cha CCM chini ya Humphrey Polepole,kilianzisha timu mbalimbali za vijana katika mitandao ya kijamii ili kukiuza chama. Vijana hao walisambazwa mitandaoni kwa majina halisi na bandia kwa ajili ya kuponda wapinzani na kupenda CCM.

Katika hali ya kushangaza,CCM inaendelea kupoteza ushawishi mitandaoni. Vijana maalum mitandaoni wameshindwa kutetea Ilani na kujenga hoja. Sasa wamekuwa vioja na kutumia kejeli na jeuri. Polepole amekwama.

Hivisasa,CCM inajipanga kuja kivingine katika kujipatia ushawishi na kujiandaa na uchaguzi ujao.

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Vipi shoga ulitoka lini Mombasa? Kwa kifupi vijana wa sisiemu hawafanyi KAZI mitandaoni.
 
Mbinu za ccm si mbinu za bavichaaa.
Mitandaoni kumejaaa umbea tyuuuu.
Vijana wa ccm tuko kikazi zaidi. nyie mnaoshinda mitandaoni mchunguzwee zaidi
Ukitutaka ccm njoo kwe nye utendaji ulio tukukaaa .na weredi wa ajabuuu.
Si si tunasema HAPA KAZI TU
Kama vijana mnaliolipwa na Polepole ni kama wewe usiyejua tofauti ya ccm na CCM , basi mkajipange upya
 
Chama cha Mapinduzi (CCM),kimekata tamaa katika kutawala mitandao ya kijamii. Kwa mujibu wa kigogo mmoja wa CCM hapa Dodoma (ambaye si Msemaji wa chama),CCM imeshindwa kupata ushawishi katika mitandao ya kijamii ikiwemo JF

Kitengo cha Itikadi na Uenezi cha CCM chini ya Humphrey Polepole,kilianzisha timu mbalimbali za vijana katika mitandao ya kijamii ili kukiuza chama. Vijana hao walisambazwa mitandaoni kwa majina halisi na bandia kwa ajili ya kuponda wapinzani na kupenda CCM.

Katika hali ya kushangaza,CCM inaendelea kupoteza ushawishi mitandaoni. Vijana maalum mitandaoni wameshindwa kutetea Ilani na kujenga hoja. Sasa wamekuwa vioja na kutumia kejeli na jeuri. Polepole amekwama.

Hivisasa,CCM inajipanga kuja kivingine katika kujipatia ushawishi na kujiandaa na uchaguzi ujao.

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
habari za mitandaoni za vijana wa bavicha ZINAPUUZWA na hazina mashiko kwa sababu ni za KIZUSHI na kupotosha wenye akili wote wamezishtukia bado nyumbu wachache.
 
Mmh, nani anazipuuza habari za mitandaoni? Mbona unaongea bullshit namna hii..
 
Chama cha Mapinduzi (CCM),kimekata tamaa katika kutawala mitandao ya kijamii. Kwa mujibu wa kigogo mmoja wa CCM hapa Dodoma (ambaye si Msemaji wa chama),CCM imeshindwa kupata ushawishi katika mitandao ya kijamii ikiwemo JF

Kitengo cha Itikadi na Uenezi cha CCM chini ya Humphrey Polepole,kilianzisha timu mbalimbali za vijana katika mitandao ya kijamii ili kukiuza chama. Vijana hao walisambazwa mitandaoni kwa majina halisi na bandia kwa ajili ya kuponda wapinzani na kupenda CCM.

Katika hali ya kushangaza,CCM inaendelea kupoteza ushawishi mitandaoni. Vijana maalum mitandaoni wameshindwa kutetea Ilani na kujenga hoja. Sasa wamekuwa vioja na kutumia kejeli na jeuri. Polepole amekwama.

Hivisasa,CCM inajipanga kuja kivingine katika kujipatia ushawishi na kujiandaa na uchaguzi ujao.

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Ushawishi kutetea dhuluma wataweza?
 
Mbinu za ccm si mbinu za bavichaaa.
Mitandaoni kumejaaa umbea tyuuuu.
Vijana wa ccm tuko kikazi zaidi. nyie mnaoshinda mitandaoni mchunguzwee zaidi
Ukitutaka ccm njoo kwe nye utendaji ulio tukukaaa .na weredi wa ajabuuu.
Si si tunasema HAPA KAZI TU
Umeandika ukweli sana !
TMPDOODLE1493301112181.jpg
Mbinu za ccm si mbinu za bavichaaa.
Mitandaoni kumejaaa umbea tyuuuu.
Vijana wa ccm tuko kikazi zaidi. nyie mnaoshinda mitandaoni mchunguzwee zaidi
Ukitutaka ccm njoo kwe nye utendaji ulio tukukaaa .na weredi wa ajabuuu.
Si si tunasema HAPA KAZI TU
 
Attachments

  • attachment-13-2.jpg
    attachment-13-2.jpg
    7.6 KB · Views: 23
Mmh, nani anazipuuza habari za mitandaoni? Mbona unaongea bullshit namna hii..
90% ya watanzania wote wanaojitambua WAMEWAPUUZA mmejaa mitandaoni uko KUZUSHA sijui mnalipwa sh.ngapi?
 
Dawa ya NJAA ni kufanya kazi na sio kushinda mitandaoni kuleta porojo.
 
Chama cha Mapinduzi (CCM),kimekata tamaa katika kutawala mitandao ya kijamii. Kwa mujibu wa kigogo mmoja wa CCM hapa Dodoma (ambaye si Msemaji wa chama),CCM imeshindwa kupata ushawishi katika mitandao ya kijamii ikiwemo JF

Kitengo cha Itikadi na Uenezi cha CCM chini ya Humphrey Polepole,kilianzisha timu mbalimbali za vijana katika mitandao ya kijamii ili kukiuza chama. Vijana hao walisambazwa mitandaoni kwa majina halisi na bandia kwa ajili ya kuponda wapinzani na kupenda CCM.

Katika hali ya kushangaza,CCM inaendelea kupoteza ushawishi mitandaoni. Vijana maalum mitandaoni wameshindwa kutetea Ilani na kujenga hoja. Sasa wamekuwa vioja na kutumia kejeli na jeuri. Polepole amekwama.

Hivisasa,CCM inajipanga kuja kivingine katika kujipatia ushawishi na kujiandaa na uchaguzi ujao.

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)

Zile buku 7 baada ya kufutwa ili kubana matumizi zaweza kuwa sababu ya kuwavunja moyo kutetea ujinga kama kawaida.
Ila kama mfuasi kindakindaki kama Nape amefumbuka akili itashindikana hawa njaa Kali?
 
Yaani ccm wao wanatafuta vijana wa kushinda mitandaoni ili kujibu hoja na ku criticize mashambulizi yote kwa maagizo toka lumumba. Wanaoiponda ccm ni wengi mitandaoni kwasababu kubwa zifuatazo:-
1. Vijana wengi wenye elimu ambao ndio watumiaji wakubwa wa mitamndao hawaipendi ccm na hivyo kuichukia serikali kwa hiyali yao bila maagizo
2. Watumishi wa umma ambao ndio wanaonyanyasika na viongozi wa ccm wapo mitandaoni kila wakati maana maofisini computer na internet ni free.
3. Wenye kipato wengi na ndio watu wanao jitambua na ndio walipa kodi wengi wananyanyaswa na serikali ya fisiem so hawawezi kuipenda fisiem
4. Bashite hana vyeti na bado yupo, hatuwezi kuipenda ccm.
5 mengine mengi unaweza kuendelea ....................
 
Back
Top Bottom