CCM yakata tamaa, yajipanga upya

Wakati wewe unasema hivyo

Mbeya huko matokeo yapo hivi
Matokeo ya uchaguzi kijiji Masangula Mbozi ccm Salile (98), chadema Kapesa (32).
CCM
 
Hawawezi kitu tena hao.kazi ya kujaza wapinzani,kwenye viroba vya mawe nakuwatosa ruvu,imeshajulikana,kuua kina Mawazo na wengine,kupotea kwa Ben na kukataa wazungu wasimtafute,kuua waendesha pikipiki tu kwahisia,na uovu mwingi,wananchi walio wengi,wameshajua lengo baya a ccm kwao kwahiyo hawana nguvu tena,hata maigizo yao sasa hivi wananchi hawayatilii maanani.ni muda tu tutashuhudia aibu ya kimataifa itakayoikumba ccm.mambo yanayochangiwa mitandaoni,yote yanaonyesha wengi wasivyoipenda,wasivyoitaka,wasivyoikubali pamoja na utawala wao wote.hata sisi wabibi na wababu nani anapenda wamafya ?hatutaki hata kuwasikia. Hawababaishi watu tena.hoja hawana ni matusi,uongo mwingiiii na blabla sisizo na maana.tuwapuuze tu hawa marehemu.
 
Kwa sasa wavuna walichokipanda ktk siasa za nchi hii kwani kuna lipi la kukumbukwa zaidi ya kutugawa kwa maslahi ya familia zao.
 
Hii timu yao ilikuja kwa kasi sana .sasa wamebaki wachache wenye roho za chuma. Kutetea CCM ni lazima uwe kama umevuta bangi vile.
 
Ha ha haaaaaaa

Unajuaga kutunga.

Like zote waliokupa ni wale wale wapiga porojo wasiopenda hapa kazi tu, ya awamu hii nzuri ambayo haijawahi kutokea nchini.
 
CCM the best political party in Africa, fuatilia kwa kina muundo wa vyama vya siasa Africa halafu uje uandike hapa, hatuendekezi umange kimambi hapa.
 
Tatizo la vijana wa CCM wanaandaliwa cha kujibu na cha kupost mitandaoni na ni wachache wanaoipenda CCM mitaani na mitandaoni ndio maana hawawezi kuwa na ushawishi wowote, wana mabadiliko wapo wengi mitaani na mitandaoni na wanatetea na kujengea hoja kile wanachokiamini bila maelekezo wala malipo hivyo hawawezi pambanishwa na wachumia tumbo. Hakika siku CCM ikiruhusu tume huru, katiba mpya na free and fair election wataondoka madarakani
 
Duh... Kwa hiyo ikiwekwa thread hapa na kuwepo na comments 300+, zote za wana upinzani basi hiyo ndio ccm wanakuwa wameshindwa?

Hivi huwa hamjifunzi kwa Lowassa jamani?
Hebu "Crimea" tumia akili kidogo tu uone kushindwa kwa watetezi wa CCM na Serikali mitandaoni. Hivi karibuni kumekuwa na masuala mengi yanayohusisha vyombo vya usalama na matukio kadhaa: Kuvamiwa Clouds, ushahidi kuanikwa baada ya uchunguzi, hakuna hatua zilizochukuliwa dhidi ya wavamizi pamoja na kujulikana kuwa ni Bashite na makiri kiri wake.
Aliyekuwa Waziri wa Habari Nape Nnauye kutishiwa bastola hadharani na mtu anayeaminika kuwa mwanausalama tena kwa ushahidi wa wazi, hakuna hatua
Wananchi wa Mkuranga, Kibiti na kwingineko wanalazimishwa 'at the gun point' kuwataja majambazi wasiyoyajua, zikitolewa hoja kuwa weledi utumike na si mitulinga, hakuna hatua.
Mikutano ya CUF inavamiwa na wahuni wanaotumwa na anayejiita profesa tena hadharani, wakipiga watu waandishi wa habari wakiwemo, hakuna hatua. Na mengine mengi.
Hivi hao vijana wa CCM hata kama wana vichwa vya kuku au nazi wanapata wapi ujasiri wa kutetea uovu huu wa serikali yao kama si kujidhalilisha mbele ya jamii. Ni kweli nimewaona humu wachache ambao kibiblia huitwa: "miongoni mwa watu hovyo", walio tayari kutetea upuuzi kama niliutaja hapo juu na mwingine. Wale wenye utu na kujitambua huamua kujinyamazia.
 
CCM Huwa haipambani vita wakati wa utekelezaji wa sera na ahadi zake kwa wananchi.ukitaka kuujua utabe wa CCM itisha uchaguzi.

Cc:chadema na Team Mangekasema
Kule zanzibar ccm iliangukia pua ikafuta uchaguzi, c c jecha
 
mmhh tatizo wapiga kura waliambiwa na baba wa taifa kuwa chagueni kijani na vijana wa ukawa wao kukaa kijiweni ata kupiga kura hawakumbuki
 
...nchi hii imefika hapa ilipo na matatizo yake sababu ya maccm....hivyo hata wafanyeje haiatasaidia...maana tayari umma unatambua kuwa shida ya nchi hii ni ccm..na dawa yake ni kuwatoa madarakani... Hakuna chama cha upinzani kulaumiwa hapa maana hawajawahi kushika dola...ccm wamebaki kukataliwa jumla na umma hapo 2020....huko ma vyuoni tayari wamekataliwa...na hata watumishi....kazi ya kuwatoa ccm madarakani ni 2020...lazima kieleweke... Hata kama watajipanga kuua RAIA...dunia mzima itahamia tz kushuhudia....na kitaeleweka tu...
 
Back
Top Bottom