CCM yakata tamaa, yajipanga upya

Mbinu za ccm si mbinu za bavichaaa.
Mitandaoni kumejaaa umbea tyuuuu.
Vijana wa ccm tuko kikazi zaidi. nyie mnaoshinda mitandaoni mchunguzwee zaidi
Ukitutaka ccm njoo kwe nye utendaji ulio tukukaaa .na weredi wa ajabuuu.
Si si tunasema HAPA KAZI TU
Kwa ulicho kiandika hapa na matumizi yako ya maneno ya kiswahili tumejua wewe ni wa umri gani
 
Chama cha Mapinduzi (CCM),kimekata tamaa katika kutawala mitandao ya kijamii. Kwa mujibu wa kigogo mmoja wa CCM hapa Dodoma (ambaye si Msemaji wa chama),CCM imeshindwa kupata ushawishi katika mitandao ya kijamii ikiwemo JF

Kitengo cha Itikadi na Uenezi cha CCM chini ya Humphrey Polepole,kilianzisha timu mbalimbali za vijana katika mitandao ya kijamii ili kukiuza chama. Vijana hao walisambazwa mitandaoni kwa majina halisi na bandia kwa ajili ya kuponda wapinzani na kupenda CCM.

Katika hali ya kushangaza,CCM inaendelea kupoteza ushawishi mitandaoni. Vijana maalum mitandaoni wameshindwa kutetea Ilani na kujenga hoja. Sasa wamekuwa vioja na kutumia kejeli na jeuri. Polepole amekwama.

Hivisasa,CCM inajipanga kuja kivingine katika kujipatia ushawishi na kujiandaa na uchaguzi ujao.

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Unatia aibu kwa umbea wako!!
 
Huyo aliyopewa Mamlaka makubwa kuliko umri wake ni vigumu kuvumilia kuendelea kuwepo humo ndani kwani nashindwa kuelewa 2020 tutaenda kuwekeza nini wananchi kwani hizi lugha za jeuri watanzania hawakuzizoe. Tayari tumeshawangusha hao wenye jamhuri yao sio. Kwa hiyo bado natafakari kuendelea kuwepo ndani ya chama lakini kubaki ikabidi uwe na roho ngumu yaani ya chuma au ya plastic
 
thubutu!
hebu jaribu kumwambia mkuu wa nchi aitishe uchaguzi muda huu uone kama hutapotea.
nakuhakikishia uchaguzi ukifanyika sasa CCM itapotea kisiasa kama KANU kule kenya.
mkuu uchaguzi wa kata 22 uliofanyika february ilikuwaje?
 
Mbinu za ccm si mbinu za bavichaaa.
Mitandaoni kumejaaa umbea tyuuuu.
Vijana wa ccm tuko kikazi zaidi. nyie mnaoshinda mitandaoni mchunguzwee zaidi
Ukitutaka ccm njoo kwe nye utendaji ulio tukukaaa .na weredi wa ajabuuu.
Si si tunasema HAPA KAZI TU
Hapa kazi tu lipi?? kwa kuteka kina Roma mkatoliki na kuwa kamata kina Ney hahaaaaaaaa mnafurahisha
 
Nakupa mfano mdogo kuna vijana wa chadema wa kata flani Temeke walianzisha operation ya nyumba kwa nyumba kwa ajili ya kutatua yale matatizo madogomadogo ambayo yapo ktk uwezo wao kutekeleza,
kilichofuata leo wameitwa na kamati ya ulinza.Hebu jiulize kwa nini kuwepo na uoga kiasi hicho kwa jambo dogo kama hilo.
 
Mbinu za ccm si mbinu za bavichaaa.
Mitandaoni kumejaaa umbea tyuuuu.
Vijana wa ccm tuko kikazi zaidi. nyie mnaoshinda mitandaoni mchunguzwee zaidi
Ukitutaka ccm njoo kwe nye utendaji ulio tukukaaa .na weredi wa ajabuuu.
Si si tunasema HAPA KAZI TU

Kua muwazi mkuu..sema wazee tunaojiita vijana
 
Mbinu za ccm si mbinu za bavichaaa.
Mitandaoni kumejaaa umbea tyuuuu.
Vijana wa ccm tuko kikazi zaidi. nyie mnaoshinda mitandaoni mchunguzwee zaidi
Ukitutaka ccm njoo kwe nye utendaji ulio tukukaaa .na weredi wa ajabuuu.
Si si tunasema HAPA KAZI TU
Umeonaje hii thread na ukaijibu kama hushindi humu.Tumia kichwa chako halisi kabla hujacomment lolote.
 
Labda wa walete wale jamaa wanaovaa suit nyeusi na miwani kama ya bashite wakiwa na pistol kama ya nape wakikuona unaanza kuandika tu wanakulipua
 
Ccm hata ibadilishe damu,virusi vya ukimwi unaolidhoofisha taifa havita waachia.hao dawa yao ni kufa tu,taifa lipate tena nguvu na kuimarika.Mungu komboa nchi yetu toka mikononi mwa hili gonjwa hatari iliyoambukizwa na ccm,ubaguzi umeota mbawa,uuaji unatisha risasi zinachomoka tu kama zinakaa kwenye kibiriti,njaa inatambaa mwilini kama nyoka,dawa hospotalini hakuna,hospitality zimegeuka majumba ya mumiani.watu hatuna uhaki wa nini kinaweza kutokea saa yoyote,uongo wa viongozi na maigizo vimekithiri,maisha gani Haya? Basi ampe kagame nchi tu, tujue tunatawaliwa na dikteta original sio yeye uchwara.
 
Back
Top Bottom