Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
Imeshapitwa na wakati,sasa tuko na fisadi wa Kivuko Kibovu,Barabara za chini ya kiwango,Lugumi,Vyeti vya Bashite na dream liner
Aisee nilikuwa nimekumiss kweli!😀Ha ha haaaaaaa
Unajuaga kutunga.
Like zote waliokupa ni wale wale wapiga porojo wasiopenda hapa kazi tu, ya awamu hii nzuri ambayo haijawahi kutokea nchini.
Lugumi akija kwenu hayo madhambi mnayompaka yatapitwa na wakati piaImeshapitwa na wakati,sasa tuko na fisadi wa Kivuko Kibovu,Barabara za chini ya kiwango,Lugumi,Vyeti vya Bashite na dream liner
Lugumi akija kwenu hayo madhambi mnayompaka yatapitwa na wakati pia
Aisee nilikuwa nimekumiss kweli!😀
Samahani nina maswali kadhaa ninayohitaji majibu yake toka kwako mpendwa;
Sihitaji kuzungumzia kandarasi na mengineyo naomba majibu ya awali katika matatizo tajwa hapo juu tafadhali.
- Hivi Tutegemee tija ipi kubwa toka kwa Kamishna wa TRA aliyeteuliwa sasa tofauti na aliyeondolewa Rished Bade? (Rished Bade alisema figisu na madudu ya TRA yanaanzia Bandarini tukidhibiti huko mambo yatakaa sawa. Bwana Mkubwa huyu wa sasa anasema figisu zinaanzia Kariakoo, tukidhibiti Kariakoo mambo yatakaa sawa!!! (Najiuliza wale Wakongo, Wazimbabwe, Wamalawi nk. wanaokuja kununua mizigo na kukamatwa kisha kuachiliwa baada ya siku tatu wakiwa hawana hatia je wanaweza kurudi tena kufanya manunuzi Tanzania?)
- Maduka ya pikipiki yamejaa Kariakoo kuna marufuku ya kuendesha pikipiki mjini kwa sababu zinachafua mazingira (lakini zinaruhusiwa kwa kulipa 150,000/= kibali!!! Je Uganda, Thailand, China, Philippines ambako kuna pikipiki nyingi kuliko Tanzania kwanini hawajazizuia?
- Biashara ya Mahindi kutoka Mkoa mmoja kwenda mwingine imezuiwa Je Dar es Salaam mashamba wanayolima yako wapi ili marufuku ile ifanye kazi vema?
Wa Richmond mnayeAnzeni kumwajibisha kuanzia wa Richmond,IPTL,ESCROW Account,Makaa ya Mawe,wa kubinafsisha taasisi za Umma,Kivuko na Barabara mbovu,Lugumi halafu urudi tena,maana serikali na taasisi zote ziko chini ya CCM,chama kilichoweka Tanzania MASIKINI kwa wizi,Ufisadi na Rushwa.
Wa Richmond mnaye
Nimekuuliza kama mwananchi mwenzangu Mtanzania, si tunahimizwa upendo na kupendana au... Naomba majibu ya maswali tafadhali!Kwanza naomba uniambie umeniliza mimi kama nami mwananchi au?
Nimekuuliza kama mwananchi mwenzangu Mtanzania, si tunahimizwa upendo na kupendana au... Naomba majibu ya maswali tafadhali!