CCM yakata tamaa, yajipanga upya

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Chama cha Mapinduzi (CCM),kimekata tamaa katika kutawala mitandao ya kijamii. Kwa mujibu wa kigogo mmoja wa CCM hapa Dodoma (ambaye si Msemaji wa chama),CCM imeshindwa kupata ushawishi katika mitandao ya kijamii ikiwemo JF

Kitengo cha Itikadi na Uenezi cha CCM chini ya Humphrey Polepole,kilianzisha timu mbalimbali za vijana katika mitandao ya kijamii ili kukiuza chama. Vijana hao walisambazwa mitandaoni kwa majina halisi na bandia kwa ajili ya kuponda wapinzani na kupenda CCM.

Katika hali ya kushangaza,CCM inaendelea kupoteza ushawishi mitandaoni. Vijana maalum mitandaoni wameshindwa kutetea Ilani na kujenga hoja. Sasa wamekuwa vioja na kutumia kejeli na jeuri. Polepole amekwama.

Hivisasa,CCM inajipanga kuja kivingine katika kujipatia ushawishi na kujiandaa na uchaguzi ujao.

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
 
Mbinu za ccm si mbinu za bavichaaa.
Mitandaoni kumejaaa umbea tyuuuu.
Vijana wa ccm tuko kikazi zaidi. nyie mnaoshinda mitandaoni mchunguzwee zaidi
Ukitutaka ccm njoo kwe nye utendaji ulio tukukaaa .na weredi wa ajabuuu.
Si si tunasema HAPA KAZI TU
Mfano wa kushindwa
 
Mojawapo ya matizo ya CCM ni hiyo brand ambayo waliivuruga wenyewe. For sure brand equity ya hicho chama hailipi. Kubadili jina inaweza kusaidia japo kiasi fulani; taasisi nyingi zimefanya hivyo angalau kuboresha image.
 
Kama kujipanga kwenye ndio mwaliko wa Joketi, ndio wategemee makubwa zaidi ya yaliyotokea. Salamu na mrejesho natumai watakuwa wameuona kupitia Bongo movie artists.

Waambieni wazee wanaenda wanafariki, na wanaokuwa ni watoto kuelekea vijana.
Mini mpaka sasa hivi mtoto wangu, nikitamka jina CCM ananikunjia ndita.
 
Chama cha Mapinduzi (CCM),kimekata tamaa katika kutawala mitandao ya kijamii. Kwa mujibu wa kigogo mmoja wa CCM hapa Dodoma (ambaye si Msemaji wa chama),CCM imeshindwa kupata ushawishi katika mitandao ya kijamii ikiwemo JF

Kitengo cha Itikadi na Uenezi cha CCM chini ya Humphrey Polepole,kilianzisha timu mbalimbali za vijana katika mitandao ya kijamii ili kukiuza chama. Vijana hao walisambazwa mitandaoni kwa majina halisi na bandia kwa ajili ya kuponda wapinzani na kupenda CCM.

Katika hali ya kushangaza,CCM inaendelea kupoteza ushawishi mitandaoni. Vijana maalum mitandaoni wameshindwa kutetea Ilani na kujenga hoja. Sasa wamekuwa vioja na kutumia kejeri na jeuri. Polepole amekwama.

Hivisasa,CCM inajipanga kuja kivingine katika kujipatia ushawishi na kujiandaa na uchaguzi ujao.

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Hivi mkuu ccm niyakukata tamaa mbona unawajua vizuri au toka umekimbia lumumba basi mipango yao haujii
 
Mbinu za ccm si mbinu za bavichaaa.
Mitandaoni kumejaaa umbea tyuuuu.
Vijana wa ccm tuko kikazi zaidi. nyie mnaoshinda mitandaoni mchunguzwee zaidi
Ukitutaka ccm njoo kwe nye utendaji ulio tukukaaa .na weredi wa ajabuuu.
Si si tunasema HAPA KAZI TU
Mleta uzi anamaanisha vijana wa ccm km ww ambaye huna hoja zenye mashaka kuitetea ccm yako.
Hizi ndo dalili zenyewe za kushindwa mitandaoni, mmejaa povu tu!!!!!!
 
Mbinu za ccm si mbinu za bavichaaa.
Mitandaoni kumejaaa umbea tyuuuu.
Vijana wa ccm tuko kikazi zaidi. nyie mnaoshinda mitandaoni mchunguzwee zaidi
Ukitutaka ccm njoo kwe nye utendaji ulio tukukaaa .na weredi wa ajabuuu.
Si si tunasema HAPA KAZI TU
Mkuu bamvicha wamekwama kwenye tope waache tu hamna namna
 
CCM Huwa haipambani vita wakati wa utekelezaji wa sera na ahadi zake kwa wananchi.ukitaka kuujua utabe wa CCM itisha uchaguzi.

Cc:chadema na Team Mangekasema
 
Uvccm ukitaka uwapate,wapoteze kwenye hoja.utawaona watakavyotoka Lumumba mbio,kama vitoto vya chatu vyenye njaa.
Watamwaga matusi yasiyo na kipimo,vitisho,lawama,pushap,mabavu,nakumalizia na "utaisaidi" policcm !
Yaani mpaka najiuliza hivi hawa vichwani wana nini ? Badala yakumpinga mpinzani wao kwa hoja,wanatamani,wachukue jifimbo la ndugai waku uwe kabisa !
Hata waje na mbinu iliyopakwa chokaa,hawana kitu tena,wananchi wamesha wachoka vibaya mno ! Kama wanajiamini wamshauri bwana wao,mikutano yakisiasa iachiwe na iwe huru.sio ya wapinzani ivamiwe,na yakwao ilindwe.
Hapo wangeona kilichowaponza kuiba kura za lowasa !
 
Duh... Kwa hiyo ikiwekwa thread hapa na kuwepo na comments 300+, zote za wana upinzani basi hiyo ndio ccm wanakuwa wameshindwa?

Hivi huwa hamjifunzi kwa Lowassa jamani?
 
Back
Top Bottom