Andika vizuri basi kama mtu uliyesoma kkk! Jina lako linaakisi elimu yako kwa 100% kwa maana nyingine huyo pole kaangukia pua yambidi awatafute vijana wasomi wamsaidie ila naye asiwahadae kuwaajiri bali awaajiri.
Naamini sasa kuwa ukimwona mshabiki wa ccm ni lazima awe kilaza.
Naamini sasa kuwa ukimwona mshabiki wa ccm ni lazima awe kilaza.
Mbinu za ccm si mbinu za bavichaaa.
Mitandaoni kumejaaa umbea tyuuuu.
Vijana wa ccm tuko kikazi zaidi. nyie mnaoshinda mitandaoni mchunguzwee zaidi
Ukitutaka ccm njoo kwe nye utendaji ulio tukukaaa .na weredi wa ajabuuu.
Si si tunasema HAPA KAZI TU