CCM yakata tamaa, yajipanga upya

CCM yakata tamaa, yajipanga upya

Chama cha Mapinduzi (CCM),kimekata tamaa katika kutawala mitandao ya kijamii. Kwa mujibu wa kigogo mmoja wa CCM hapa Dodoma (ambaye si Msemaji wa chama),CCM imeshindwa kupata ushawishi katika mitandao ya kijamii ikiwemo JF

Kitengo cha Itikadi na Uenezi cha CCM chini ya Humphrey Polepole,kilianzisha timu mbalimbali za vijana katika mitandao ya kijamii ili kukiuza chama. Vijana hao walisambazwa mitandaoni kwa majina halisi na bandia kwa ajili ya kuponda wapinzani na kupenda CCM.

Katika hali ya kushangaza,CCM inaendelea kupoteza ushawishi mitandaoni. Vijana maalum mitandaoni wameshindwa kutetea Ilani na kujenga hoja. Sasa wamekuwa vioja na kutumia kejeri na jeuri. Polepole amekwama.

Hivisasa,CCM inajipanga kuja kivingine katika kujipatia ushawishi na kujiandaa na uchaguzi ujao.

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Watakuja sasa hivi,sijasoma wachangiaji baada ya post hii lakini natabiri Lizabon,Trolly,Barborosa et al watakuja kujibu mapigo soon
 
Mleta uzi anamaanisha vijana wa ccm km ww ambaye huna hoja zenye mashaka kuitetea ccm yako.
Hizi ndo dalili zenyewe za kushindwa mitandaoni, mmejaa povu tu!!!!!!
Si nyie mliokuwa mnatuambia eti mna raisi wenu kwenye mitandaoni?? eti mna raisi wa mioyoo mbona hamumutaji??
CCM tuko ngangaliiii. mambo yetu sio ya kuanikana mitandaoniii. ukitaka mambo yetuu njooo kwenye majimbo yetu
Haaàaaaa haaaaaa. HAPA KAZI TU
 
CCM hakihitaji Umaarufu mtandoni wewe kweli zumbukuku ulimwengu upo huku Chama kilicho shika dolla kinahitaji Umaarufu gani Zaidi ya Huu wa kushika Dolla Dunia nzima inajua Rais wa Tanzania anatokea Chama gani Sasa wewe unataka Umaarufu Chama chako kinajulikana mwisho Mbagara kweli nimeamini vichaa mko wengi na sio lazima uokote makopo au utembee uchi hiyo imekula kwenu
 
Mamluki wa fisiemu tumechoka chama kimekua kama ndoa ya kikristo mpaka kifo huwezi kuishi nyumba ya nyasi kila siku hapa ni kujiongeza tuu [HASHTAG]#sipangiwi[/HASHTAG] na mtu 2020
 
CCM Huwa haipambani vita wakati wa utekelezaji wa sera na ahadi zake kwa wananchi.ukitaka kuujua utabe wa CCM itisha uchaguzi.

Cc:chadema na Team Mangekasema

Mshampoteza striker wa 'hand ball'; halafu hamjitambui. Kila kona ya Tazania inamshangaa huyo mwenyekiti wenu kumkumbatia kada mmoja mwenye tuhumi lukuki: vyeti bandia, madaraka ya kulevya na kujilimbilizia mali kuliko kipato chake. HILI MNALO.

By the way, habari zilizagaa mtaani eti leo ilikuwa mumfukuze Nape, vipi mumegwaya?
 
Habari zote za muhimu zinatokea JF...hizo habari zilizozagaa zinatokea Insta
....Think!
 
Chama cha Mapinduzi (CCM),kimekata tamaa katika kutawala mitandao ya kijamii. Kwa mujibu wa kigogo mmoja wa CCM hapa Dodoma (ambaye si Msemaji wa chama),CCM imeshindwa kupata ushawishi katika mitandao ya kijamii ikiwemo JF

Kitengo cha Itikadi na Uenezi cha CCM chini ya Humphrey Polepole,kilianzisha timu mbalimbali za vijana katika mitandao ya kijamii ili kukiuza chama. Vijana hao walisambazwa mitandaoni kwa majina halisi na bandia kwa ajili ya kuponda wapinzani na kupenda CCM.

Katika hali ya kushangaza,CCM inaendelea kupoteza ushawishi mitandaoni. Vijana maalum mitandaoni wameshindwa kutetea Ilani na kujenga hoja. Sasa wamekuwa vioja na kutumia kejeli na jeuri. Polepole amekwama.

Hivisasa,CCM inajipanga kuja kivingine katika kujipatia ushawishi na kujiandaa na uchaguzi ujao.

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Na mahali tulipowaweza ni kuzuia viroba. CCM tupo gado na tunawapeleka kinyama, tunapiga kazi Ilani ya chama inatekelezeka. Mtajibeba mwaka huu na hivi ile starehe yenu ya viroba tumeitupa kuleeee kama jina lako.
CCM hoiyeeeee
 
Kitu ambacho kinanishangaza sana juu ndugu zangu wanashindwa kuelewa yakuwa Mtu akichangia kwa uhalisia wanakuchukulia kama mpinzani wao. Sio wote wanakubaliana mambo ndani ya chama au utatuzi wa jambo lolote la kijamii. Mfano huku mtaani mm sidhubutu kujitabulisha kama wanaccm au kushiriki mjadala wowote ninaokutana nao sehemu yeyote. Kama lipo juu yangu
 
Wapi wewe achange kutuzingua hapa, kwani wewe CCM?
 
Chama cha Mapinduzi (CCM),kimekata tamaa katika kutawala mitandao ya kijamii. Kwa mujibu wa kigogo mmoja wa CCM hapa Dodoma (ambaye si Msemaji wa chama),CCM imeshindwa kupata ushawishi katika mitandao ya kijamii ikiwemo JF

Kitengo cha Itikadi na Uenezi cha CCM chini ya Humphrey Polepole,kilianzisha timu mbalimbali za vijana katika mitandao ya kijamii ili kukiuza chama. Vijana hao walisambazwa mitandaoni kwa majina halisi na bandia kwa ajili ya kuponda wapinzani na kupenda CCM.

Katika hali ya kushangaza,CCM inaendelea kupoteza ushawishi mitandaoni. Vijana maalum mitandaoni wameshindwa kutetea Ilani na kujenga hoja. Sasa wamekuwa vioja na kutumia kejeli na jeuri. Polepole amekwama.

Hivisasa,CCM inajipanga kuja kivingine katika kujipatia ushawishi na kujiandaa na uchaguzi ujao.

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)

Pole sasa hivi tunatumia mapanga na mashoka usiwe na wasi wasi Bastola tumeitumia lakini ilikuwa moja tu.
 
Zile buku 7 baada ya kufutwa ili kubana matumizi zaweza kuwa sababu ya kuwavunja moyo kutetea ujinga kama kawaida.
Ila kama mfuasi kindakindaki kama Nape amefumbuka akili itashindikana hawa njaa Kali?
 
Chama cha Mapinduzi (CCM),kimekata tamaa katika kutawala mitandao ya kijamii. Kwa mujibu wa kigogo mmoja wa CCM hapa Dodoma (ambaye si Msemaji wa chama),CCM imeshindwa kupata ushawishi katika mitandao ya kijamii ikiwemo JF

Kitengo cha Itikadi na Uenezi cha CCM chini ya Humphrey Polepole,kilianzisha timu mbalimbali za vijana katika mitandao ya kijamii ili kukiuza chama. Vijana hao walisambazwa mitandaoni kwa majina halisi na bandia kwa ajili ya kuponda wapinzani na kupenda CCM.

Katika hali ya kushangaza,CCM inaendelea kupoteza ushawishi mitandaoni. Vijana maalum mitandaoni wameshindwa kutetea Ilani na kujenga hoja. Sasa wamekuwa vioja na kutumia kejeli na jeuri. Polepole amekwama.

Hivisasa,CCM inajipanga kuja kivingine katika kujipatia ushawishi na kujiandaa na uchaguzi ujao.

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)

Wanateka watu
Wanapiga wanahabari
Wanatoa bastola
Kauli mbovu kila siku

Wanaendelea kusapoti ccm ni wakina le akili kubwaz tu
 
Mbinu za ccm si mbinu za bavichaaa.
Mitandaoni kumejaaa umbea tyuuuu.
Vijana wa ccm tuko kikazi zaidi. nyie mnaoshinda mitandaoni mchunguzwee zaidi
Ukitutaka ccm njoo kwe nye utendaji ulio tukukaaa .na weredi wa ajabuuu.
Si si tunasema HAPA KAZI TU
Kaseme hivyo mbele ya CAG, nadhani utatoka umeielewa CCM ni kitu gani.
 
Mbinu za ccm si mbinu za bavichaaa.
Mitandaoni kumejaaa umbea tyuuuu.
Vijana wa ccm tuko kikazi zaidi. nyie mnaoshinda mitandaoni mchunguzwee zaidi
Ukitutaka ccm njoo kwe nye utendaji ulio tukukaaa .na weredi wa ajabuuu.
Si si tunasema HAPA KAZI TU
Kumbe mpo kikazi yani kiposho posho ya buku 3 huku Hanna ushawishi wowote
 
CCM Huwa haipambani vita wakati wa utekelezaji wa sera na ahadi zake kwa wananchi.ukitaka kuujua utabe wa CCM itisha uchaguzi.

Cc:chadema na Team Mangekasema
thubutu!
hebu jaribu kumwambia mkuu wa nchi aitishe uchaguzi muda huu uone kama hutapotea.
nakuhakikishia uchaguzi ukifanyika sasa CCM itapotea kisiasa kama KANU kule kenya.
 
Toka lini simba mzee akawa na mbinu mpya ya kuwinda,yani vijana wao wamejichokea wanalipwa buku 2 kwa cku njaa imeingia mpka kwenye bongo zao
 
Back
Top Bottom