CCM yaitisha Kamati Kuu kwa dharura

CCM yaitisha Kamati Kuu kwa dharura

CCM tuko imara sana! Hizi taarifa wala sio mpya ila wajumbe wana taarifa zote bila shaka.

Utahangaika sana na CCM wakati UKAWA hawana mgombea mpaka leo.

Mandla.

Kwa hiyo hata vikao vingine vya uteuzi , kama mkutano mkuu na halimashauri kuu mtafanyia ikulu kumkwepa Lowassa na kambi yake? Ndio maana nae kawaambia wana Dar leo kuwa ni nchi hii tu ambayo viongozi hulala na mashine nazo hulala. Ameahidi kuikomesha hali hiyo inayolazwa maendeleo yetu.
 
Kweli ubw*ge fani. Na wewe ukamuamini kabisa. Umesahau kuwa huyu ni kiongozi mwandamizi wa serikali kwa miaka zaidi ya 30?umesahau kuwa alikuwa PM kwa miaka 2 ya serikali ya JK? Je kati ya anayoyasema alishindwa nini wakati akiwa mtendaji mkuu wa serikali (PM).

Tumia ubongo wako kufikiri, acha kukubali kugeuzwa Bw*ge na wanasiasa.
 
Cheki miCHADEMA inavyopenda kushadadia vita, hivi vita ni sera yenu? Maana Dr. Slaa aliposhindwa urais na JK mwaka 2010 alisema nchi haitatawalika lakini mwisho wa siku ameaibika kwani nchi inatawalika ipasavyo. Shame on you!

Una ushahidi Nchi inatawalika we kenge?
 
umepaniki kijana!

Pasco hapana na hata charles ni kwamba hajasoma tu thread ya Pasco na ukabila. Ona hata hapa anaelewa Julius Nyerere ni baba wa taifa wa nchi yetu lakini kwa utovu ule ule anawaaminisha vijana wa taifa hili kuwa ni baba wa hiari. Kama umepewa hela na huyo unaemshabikia asipoteuliwa utaiweka wapi sura yako Pasco?
 
hakuna kitu nachotamani kama hiki

lowasa akatwe na kamati kuu

baada ya kukatwa ahame ccm na wapambe wake woote

akishahama ccm kiparanganyike

kuanzia hapo tusiwe na chama tawala kibabe tena kama ca ccm

kuanzia hapo chama chochote cha upinzani kichukue nchi na kuanzia hapo tuwe tunabadilisha chama kinachotawala kama kenya

kila chama kikiingia madarakani kiwe macho kwani muda wowote kinaweza pigwa chini.

natamani ccm itoke madarakani
 
Hata akifukuzwa hana madhara,hela zake ndio zinafutwa hapendwi mtu hapo.
 
Mamvi mnataka atimuliwa mara ya ngapi yule uraisi asahau kabisa
 
Kweli ubw*ge fani. Na wewe ukamuamini kabisa. Umesahau kuwa huyu ni kiongozi mwandamizi wa serikali kwa miaka zaidi ya 30?umesahau kuwa alikuwa PM kwa miaka 2 ya serikali ya JK? Je kati ya anayoyasema alishindwa nini wakati akiwa mtendaji mkuu wa serikali (PM).

Tumia ubongo wako kufikiri, acha kukubali kugeuzwa Bw*ge na wanasiasa.

Naelewa sana kuwa alikuwa sehemu ya serikali iliyoshindwa na hata ya nyuma yake.Labda wewe na ukada wako ndio huelewi kuwa tatizo la nchi hii ni mfumo wa uongozi wa serikali na chama chako kinachoongoza. Nae alikuwa waziri mkuu tu tena awamu hii ya nne angeweza kushauri na sio kubadilisha lolote.Sasa anakuja kama kiongozi wa nchi na atafutilia mbali mfumo huu unaokumbatia wezi na kutoa maamuzi kwa wakati muafaka.Nadhani nimekuongezea uelewa fulani tofauti na unavyonifikiria kuwa mimi ni -----.
 
hakuna kitu nachotamani kama hiki

lowasa akatwe na kamati kuu

baada ya kukatwa ahame ccm na wapambe wake woote

akishahama ccm kiparanganyike

kuanzia hapo tusiwe na chama tawala kibabe tena kama ca ccm

kuanzia hapo chama chochote cha upinzani kichukue nchi na kuanzia hapo tuwe tunabadilisha chama kinachotawala kama kenya

kila chama kikiingia madarakani kiwe macho kwani muda wowote kinaweza pigwa chini.

natamani ccm itoke madarakani
Wewe una mtazamo finyu. Unafikiri watanzania wanakusanyika maelfu kwa sababu wanamuunga mkono? Wwatu wanatafuta anachotoa, subiri apigwe chini uone kama kuna mtu atazungumza habari zake.
 
Back
Top Bottom